Pongezi nyingi kwa Prof. Ole Sante Ole Gabrieli kwa kuteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama.
Prof. Gabrieli ni kiongozi mchapakazi, mwenye maono, mbunifu na pia ni mtu wa haki sana asiye kubali dhuluma wala uonevu,
ni mfuatiliaji asiye danganyika wala kuburuzwa.
Akiwa kama mtendaji Mkuu hakika ataleta mabadiliko ya kweli ktk mhimili wa mahakama, lkn asikubali mazoea, anatakiwa afanye mabadiliko ktk utendaji, awe mfuatiliaji wa karibu.
endapo Prof. Ole Sante Ole Gabrieli anataka kufanikiwa na kuweka legacy yake basi anapaswa afanye mabadiko makubwa ili aweze kufikia malengo, aondowe mazoea, aondoe uonevu, na aimarishe uwazi na haki, ahakikishe haki ina tawala kuazia kwenye Mhimili wenyewe na kwa wananchi kwa ujumla.