Duu...luteni jenerali ndo ameshachomolewa jeshini hapo
..nina ndugu yangu amesoma na Lt.Gen.Yakubu Mohamed amestaafu tangu mwaka juzi.
..kwa hiyo bila shaka CoS Yakubu Mohamed amefikia umri wa kustaafu.
..CoS Mwakalindile aliteuliwa balozi Msumbiji. Cos Kiwelu aliteuliwa balozi Ufaransa. CoS Abdulrahman Shimbo aliteuliwa balozi China.