Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Kwa CV huyu alitakiwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha? hivi kwanini asioneshe impact yake pale wizarani kwa kupewa ukatibu mkuu kuliko kupewa hii ya ubalozi.
Hawataki MTU wa kuwahàribia madili yao
 
Imebidi watengane na mumewe Hadi amalize urais maana serikali haiwezi kuwa na mtu leo analala ikulu kesho mkoa mjini kkutwa kichochoro kingine.
[emoji23][emoji23] dah, aisee hizi taarifa nyeti hivi
 
Anateua akiwa Malawi.Hapa hatuna Rais tuna mzurulaji.

Kikwete ndiye aliyetuharibia hii Nchi.
Tulia dawa iingie tupo awamu ya sita. Sii mapya ayafanyayo hata awamu iliyopita waliyafanya acha kulalamika. Rais chapa kazi tena kwa kasi zaidi usiangalie sura wala atokako wala dini ya mtu tuletee wachapakazi.
 
Pongezi nyingi kwa Prof. Ole Sante Ole Gabrieli kwa kuteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama.

Prof. Gabrieli ni kiongozi mchapakazi, mwenye maono, mbunifu na pia ni mtu wa haki sana asiye kubali dhuluma wala uonevu,
ni mfuatiliaji asiye danganyika wala kuburuzwa.

Akiwa kama mtendaji Mkuu hakika ataleta mabadiliko ya kweli ktk mhimili wa mahakama, lkn asikubali mazoea, anatakiwa afanye mabadiliko ktk utendaji, awe mfuatiliaji wa karibu.

Endapo Prof. Ole Sante Ole Gabrieli anataka kufanikiwa na kuweka legacy yake basi anapaswa afanye mabadiko makubwa ili aweze kufikia malengo, aondowe mazoea, aondoe uonevu, na aimarishe uwazi na haki, ahakikishe haki ina tawala kuazia kwenye Mhimili wenyewe na kwa wananchi kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom