Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Hivi mara ya mwisho kuwa na CDF muislam ilikuwa lini...?


Samahani lakini, kwa nia njema kabisa
U CDF sio dini kuwa ohh mkristo au mwislamu Ni performance tena kwenye Vita sio kuwa desk officer ofisini!!!

Kapigana Vita wapi ? Na akashinda Nk sio ohh Sasa zamu ya waislamu au wazanzibari jeshi sio kula urojo darajani kuwa wewe muuza urojo Mimi Sasa zamu yangu kuniwekea!!!
 
Mtu kama huyu hawezi kua katibu mkuu wizara ya fedha? performance yao inaonekana wapi? huko ubalozi anaenda kupiga picha tu.
Bora aende huko tu, ukishaingia kule huwezi pata hiyo nafasi ya kuonesha professionalism!

Wengi wanaingiaga na hamu ya kufanya mabadiliko, lakini mfumo unawapoteza, wanabaki wazee wa ndioo!

Kazi kwelikweli.
 
Hivi mara ya mwisho kuwa na CDF muislam ilikuwa lini...?


Samahani lakini, kwa nia njema kabisa

..CDF wa mwisho Muislamu alikuwa Luteni Jenerali Abdala Twalipo " kamanda chakaza."

..Twalipo alikuwa CDF wa pili wa JWTZ, akimrithi Meja Jenerali Mirisho Sarakikya.

..Wakati anateuliwa Abdala Twalipo alikuwa ni mkuu wa mkoa wa ziwa magharibi [kagera] na alikuwa na cheo cha Kanali.

..Hivyo alipandishwa cheo na Rais Mwalimu Nyerere kuwa Meja Jenerali na Mkuu wa JWTZ.

..Twalipo alitumikia kama CDF kuanzia mwaka 1974 mpaka 1980 baada ya vita vya Kagera.

..Mwaka 1985 Abdala Twalipo alipandishwa cheo na kuwa Jenerali [ 4 star General ] wa kwanza ktk JWTZ.

NB:

..JWTZ haijawahi kuwa na CDF au CoS Mzanzibari.

..Pia hatujawahi kuwa na IGP Mzanzibari.
 
Back
Top Bottom