Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
AmestaafuMasilingi ametoka ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmestaafuMasilingi ametoka ama?
Dodoma yabadilika kidogokidogo.Yaani ndio leo unanifungua. Na huyo binti hapa juu ni step daughter? Jamani si aniteue na mie nikawe msaizi wa huyu binti! Maana ukiwa na huyu ofisini hata lunch huna haja, wee unashiba tu na tabasamu zake!
View attachment 1895510
World Economic ForumKwa CV huyu alitakiwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha? hivi kwanini asioneshe impact yake pale wizarani kwa kupewa ukatibu mkuu kuliko kupewa hii ya ubalozi.
Watu kama hao huwezi kuwakuta kwenye utendaji ndani ya nchi, they are more attached to the world leadership......Kwa CV huyu alitakiwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha? hivi kwanini asioneshe impact yake pale wizarani kwa kupewa ukatibu mkuu kuliko kupewa hii ya ubalozi.
Akae kwa kutulia na bwana shetani, au afe tena huyo bwana"Ndugu zangu mtanikumbuka",,watanzania tuchape kazi,,,!!
Umesomeka...Elsie Sia Kanza kipindi cha Jakaya Kikwete alivuma sana. Kuna mtu anachanga karata zake vizuri sana!
2030 hatuna namna!!
Tupe kidogo CV yakeElsie Sia Kanza hapo Tanzania imepata balozi anayefaa kabisa kuiwakilisha nchi yetu .
Ndo nilisikia kuwa angekuwa CDF baada ya Mabeyo sasa Bai baiNani kuwa Mnadhimu Mkuu wa TPDF baada ya sasa Lt. Gen Yacub Mohamed kwenda Ankara, Uturuki kutuwakilisha.
Ahsante sana MkuuElsie Sia Kanza serves as the Senior Director, Head of Africa at the World Economic Forum. Previously, she served as Personal Assistant to H.E. Jakaya Kikwete, 4th President of the United Republic of Tanzania responsible for Economic Affairs from 2006 to 2011. Prior to that she worked with the Ministry of Finance and Central Bank of Tanzania since 1997. She holds a BSc(Cum laude) in International Business Administration from the United States International University, an MSc in Finance from the University of Strathclyde and an MA in Development Economics from Center for Development Economics, Williams College (US). She also a WEF Young Global Leader (2011) and Desmond Tutu Leadership Fellow (2008).
Yaani ukifahamu namna ya kula chapati za kuchana kwa mchuzi, basi waingia kundini.Elsie Sia Kanza kipindi cha Jakaya Kikwete alivuma sana. Kuna mtu anachanga karata zake vizuri sana!
2030 hatuna namna!!
Alikuwa senior ndo angekuwa next CDF, ndo Basi tenaDuu...luteni jenerali ndo ameshachomolewa jeshini hapo
Imebidi watengane na mumewe Hadi amalize urais maana serikali haiwezi kuwa na mtu leo analala ikulu kesho mkoa mjini kkutwa kichochoro kingine.Wacha bwana, Samia mke mmoja kati ya wake watatu????
Sasa nafasi zikiwa wazi aziache?Serikali ya teuwateuwa!
Mpaka anatoka kwa madaraka ye ni kutewa tu
Huyu mama hafanyi hyo kazi inafsnywa na katibu mkuu kiongozi yeye anasoma na kubariki tuAnateua akiwa Malawi.Hapa hatuna Rais tuna mzurulaji.
Kikwete ndiye aliyetuharibia hii Nchi.
Lazima Lissu anafatilia, maana Masilingi alimfedhehesha!Masilingi ametoka ama?