real life skills
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 233
- 238
Watu wengine huwa mnajiaminisha mambo ya kijinga sana!Uzi wote huu unazungukazunguka tu,wewe nenda tu kwenye pendekezo lako kuwa awafukuze Gwajiboy na Polepole hapo ndo mtajua kwanini JK aliimbiwa mbele yake tunaimani na Lowassa.
Hao walioimba wana imani na lowassa walimfanya awe rais?
Rais Samia anaweza kuwafanya chochote kina Gwajima na polepole na wakasahaulika kabisa katika ulimwengu wa siasa. Kwa kuwa hawana tidhio lolote la kisiasa,na kwa kuwa Samia ni muungwana,anawaangalia tu! Lakini they are nothing!