real life skills
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 233
- 238
Watu wengine huwa mnajiaminisha mambo ya kijinga sana!Uzi wote huu unazungukazunguka tu,wewe nenda tu kwenye pendekezo lako kuwa awafukuze Gwajiboy na Polepole hapo ndo mtajua kwanini JK aliimbiwa mbele yake tunaimani na Lowassa.
Maneno 0 vitendo 0Maneno tu hayo, vitendo 0
Mkuu achana nae huyo . Waliishia kumuimbia lakini mwishowake walisandaWatu wengine huwa mnajiaminisha mambo ya kijinga sana!
Hao walioimba wana imani na lowassa walimfanya awe rais?
Rais Samia anaweza kuwafanya chochote kina Gwajima na polepole na wakasahaulika kabisa katika ulimwengu wa siasa. Kwa kuwa hawana tidhio lolote la kisiasa,na kwa kuwa Samia ni muungwana,anawaangalia tu! Lakini they are nothing!
😂😂😂😂😂 ndo aende mbugani sasa akakumbatiwe vizuriWewe ni jinga nambari wahedi!
Usitukane machifu wetu. Machifu wetu wametambua uwezo wa rais Samia na kumfanya chifu mkuu. Wewe ni nani kupinga?
Hahahahhahhaha 🤣🤣🤣🤣wa baridi saana huyo mtu.
Akili za kazi gani sasa,yaani nani kakwambia hii nchi inahitaji akili😂😂😂huna akili wewe
Kama si Mkapa na akina Malechela Kikwete alikuwa amefika mwisho wa upeo wake ndo maana chaguo lake la Membe likatupwa huko wakaweka wanayemtaka wao Jiwe.Watu wengine huwa mnajiaminisha mambo ya kijinga sana!
Hao walioimba wana imani na lowassa walimfanya awe rais?
Rais Samia anaweza kuwafanya chochote kina Gwajima na polepole na wakasahaulika kabisa katika ulimwengu wa siasa. Kwa kuwa hawana tidhio lolote la kisiasa,na kwa kuwa Samia ni muungwana,anawaangalia tu! Lakini they are nothing!
Ugaidi wa laki 6? Hivi tuna akili sisi?mbowe anakesi ya kujibu nani kambambikizia gaidi yule
kwani kwa akili yako wewe ugaidi unaanzia kiasi gani mkuu wacha ushabiki maandazi mbowe kwanza kawaibia sana ila mnajifanya hamjui alipewa hea ya kujenga ofisi kala yote bado mnakenua meno kusema siyo gaidi mbowe???????????Ugaidi wa laki 6? Hivi tuna akili sisi?
kwaiyo baada ya kuimbiwa Lowasa akashinda au akashindwa?Uzi wote huu unazungukazunguka tu,wewe nenda tu kwenye pendekezo lako kuwa awafukuze Gwajiboy na Polepole hapo ndo mtajua kwanini JK aliimbiwa mbele yake tunaimani na Lowassa.
kwaiyo inahitaji niniAkili za kazi gani sasa,yaani nani kakwambia hii nchi inahitaji akili😂😂😂
Wewe ndio zero kabisa lakini tunaheshimu maoni, muache kuwatisha na kuwafunga watu kwa ajiri ya maoni yao, tukutane sanduku la kura bila wizi na polisikatiba mpya haitakuletea pesa ya kula na familia yako fanya kazi ulishaona nchi gani ilibadirisha katiba ikatulia yaani ndiyo kwanza zinaleta migongano nchini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye mwenye akili kapata nnAkili za kazi gani sasa,yaani nani kakwambia hii nchi inahitaji akili[emoji23][emoji23][emoji23]
au wewe usiye na akili umepata nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye mwenye akili kapata nn
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Wewe mkuu ni takataka nimeamua kukidharau! Kweli majina tunatunga humu yanasaidifu tulivyo, kikwetu Iboya ni "boya" yaani huna kitu mgichwa!!kwani kwa akili yako wewe ugaidi unaanzia kiasi gani mkuu wacha ushabiki maandazi mbowe kwanza kawaibia sana ila mnajifanya hamjui alipewa hea ya kujenga ofisi kala yote bado mnakenua meno kusema siyo gaidi mbowe???????????
Kujipendekeza na uoga uoga wa kijinga,kwa hiyo hii nchi inahitaji watu wajinga zaidikwaiyo inahitaji nini