Rais Samia Suluhu, ahsante kwa nilichokisia wakati wa uapisho wa viongozi

Kinachonishangaza ni ushujaa wenu kumsikiliza. Binafsi nilishakata tamaa kusikia anasema nini. Ninachofahamu kila kitu anauliza aambiwe nini kifanyike. Huyo anayeulizwa ndo wale walioangusha nchi hii hadi wajinga wakawa maarufu. yaani JK!
mama punguza wivu na chuki zisizo na sababu kwa mwanamke mwenzako, zikizidi hizo utajikuta unapata hedhi mwaka mzima!!

hata hivyo hili jibu lako ni mfano kwa mtoa mada plae alipomwambia mama asiwe mstaarabu kwani hakuna wastaarabu tz..........akanyage, aende!
 
Maneno ya Gwajima Na polepole yanasababisha wananchi wasipate maji, umeme,barabara, yanasababisha ukosefu wa Ajira, wizi wa mali za Serikali n.k
Au kuna kingine kinachokwamisha maendeleo
 
Sasa mei mosi na kulipa posho vinahusianaje?
 
Hao vidwagaa wasiasa tunataka wafurushwe manguli kama wa katiba na sheria,ardhi,fweza nk. 2025 pachimbwike
 
Wewe ni jinga nambari wahedi!

Usitukane machifu wetu. Machifu wetu wametambua uwezo wa rais Samia na kumfanya chifu mkuu. Wewe ni nani kupinga?

Mkuu wale machifu njaa hamna kitu pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Exactly,watu wenye dharau kama Gwajima ni wakufutwa kabisa hili iwe fundisho kwa wapuuzi wengine, mama inatakiwa hawatumie wenye kazi zao kudili na watu wenye dharau kama gwajima na kundi lake wote
 
Kinachonishangaza ni ushujaa wenu kumsikiliza. Binafsi nilishakata tamaa kusikia anasema nini. Ninachofahamu kila kitu anauliza aambiwe nini kifanyike. Huyo anayeulizwa ndo wale walioangusha nchi hii hadi wajinga wakawa maarufu. yaani JK!
Mtu mwenye akili zako utapotezaje mda wako kumsikiliza muimba taarab wa kizanzibari?
 
ww ndo upo nyuma yake
 
Pole

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
JPM hakuwa anasubiri ushauri kama wako. Alikuwa anachukua hatua hapo hapo. He was a real President. Sio hawa wa kutishiatishia!
 
Kinachonishangaza ni ushujaa wenu kumsikiliza. Binafsi nilishakata tamaa kusikia anasema nini. Ninachofahamu kila kitu anauliza aambiwe nini kifanyike. Huyo anayeulizwa ndo wale walioangusha nchi hii hadi wajinga wakawa maarufu. yaani JK!
Na vipi yile aliye geuza nchi ikawana na watekaji wauwaji na wanyang'anyi kama kina sabaya?

Mie naona bora ya mama huyu mara 100000000000000000000000000000000000. Kuliko bwana yule kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…