Kuna faida kubwa sana katika kukosolewa kuliko kujiona mkamilifu na wengine wote hawajui kitu. Ukijiona mkamilifu na uhitaji kukosolewa gari likianza kwenda kombo utabakia wewe na gari lako, wale wote ambao walikuwa upande wako watakugeuka tu.Hii serikali inaonekana itakuwa radhi kukosolewa na hapatakuwepo na kutishana bila sababu, muhimu watendaji wake wasije kumuangusha kama tunavyoona kwenye vifurushi vya simu.
Hahahaaa hiyo ni namna ya kuanza yake tu, kwa tabia zenu si mtataka uhuru mpaka mmtoe ikuru?Hii serikali inaonekana itakuwa radhi kukosolewa na hapatakuwepo na kutishana bila sababu, muhimu watendaji wake wasije kumuangusha kama sasa tunavyoona kwenye vifurushi vya simu.
Hapo sawaRais Samia Suluhu amesema vyombo vya habari ambavyo vilivyofungiwa vifunguliwe ila vifuate sheria.
Amesema mamlaka zinazohusika ziainishe kosa na kiwango cha adhabu kwa wale watakaokiuka sheria kanuni na taratibu za nchi katika kuendesha vyombo vyao vya habari na si kufungia tu kibabe.
Mbona ipoTwitter itarudi tu soon
Bila vipieni huwezi kutumiaMbona ipo