Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akupe mwisho mzuri mama wa nchi yetu.Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.
Rais Samia amesema haya...
Wizara ya habari, mnapaswa kusimamia vyombo vya habari, nasikia kuna vyombo vya habari mmevifungia, vifungulieni lakini vifuate sheria na kanuni. Tusiwape mdomo mdomo wa kusema tunabinya uhuru wa habari na nataka kanuni ziwe wazi. Tusifungie tu kibabe
Kongole Mama👏👏👏Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.
Rais Samia amesema haya...
Wizara ya habari, mnapaswa kusimamia vyombo vya habari, nasikia kuna vyombo vya habari mmevifungia, vifungulieni lakini vifuate sheria na kanuni. Tusiwape mdomo mdomo wa kusema tunabinya uhuru wa habari na nataka kanuni ziwe wazi. Tusifungie tu kibabe
Wapi ww, mahali pa kikosewa wanapewa ukweli wao. Naona kimekuuma utawala wa dhalimu rasmi unafutwa nchini. Mungu nakushukuru kwa kuamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika. Ndani ya miaka mitano iliyopita nchi hii ilikuwa mikononi mwa shetani, sasa Mungu ameamua wananchi waishi kwa amani, kwani shetani hana mamlaka hapa duniani.Hahahaaa hiyo ni namna ya kuanza yake tu, kwa tabia zenu si mtataka uhuru mpaka mmtoe ikuru?
BHabari mbaya kwa mataga hii
10zaidi kwa mama
Bwashee mazaa anawanyoosha kweli kweli. Hata buku saba saivi mtakuwa hampati tena.Tanzania Daima!
Muhimu sana hio. Twitter kwa mbinde haiendi kabisaAsisahau na vpn ...twita yetu..
Ngoja tusubiri atwitiMuhimu sana hio. Twitter kwa mbinde haiendi kabisa
Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.
Rais Samia amesema haya...
Wizara ya habari, mnapaswa kusimamia vyombo vya habari, nasikia kuna vyombo vya habari mmevifungia, vifungulieni lakini vifuate sheria na kanuni. Tusiwape mdomo mdomo wa kusema tunabinya uhuru wa habari na nataka kanuni ziwe wazi. Tusifungie tu kibabe
Kwa sasa ni buku 50 bwashee.Bwashee mazaa anawanyoosha kweli kweli. Hata buku saba saivi mtakuwa hampati tena.
Hatari ,heavens kuwaka moto ,head boy kushushia malaika wa mungu kosovo kwa hasira.Habari mbaya kwa mataga hii
10zaidi kwa mama
Hutakiwi ku comment kabisa. MATAGA mtuache kwanzaWakuu kama mimi ni TAGA na nilipongeza vyombo vya habari vilipofungiwa hapa natakiwa kucomment nini?