Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Maisha yanaenda kasi sana, Leo Kigogo anapigwa spana huko na followers wake
 
Vifunguliwe na wafuate taratibu

Habari na taarifa ni muhimu sana kwa jamii

Wakianza kuandika tena habari za uchochezi na kuhamasisha hujuma kwa nchi yetu washughulikiwe ipasavyo
Huyu mama hana roho mbaya Kama ya Jiwe.Ni smart na hataki ujinga.
 
Ni siku ya 20 leo tangu aapishwe kuwa Raisi.

Hata awamu ya 5 ilianza na MANENO then baada ya hapo ikafuata sheria.

Tumpe muda. mtoto huanza kwa kukaa, kutambaa, kusimama then ndio hutembea.
Huyu sio jiwe.
Nyinyi mna akili ngumu sana eee?
 
Naona kasahau kusema kufunguliwa kwa vyombo vya habari vilivyokuwa vimefungwa kiende sambamba na kuyafungia yale magazeti ya Musiba na kuondoa ada za kusajili blog & YouTube channels

Ila kiukweli huyu mama yetu anatupenda sana,sijui kwa nini akina Nkamia hawajaanza mchakato wa kumuongezea muda kama walivyokuwa wameanza kwa mzee wetu wa Chato
 
Ngoja nimwite na cocochanel nisikie maoni yake maana wewe na yeye akili kama zipo sawa hivi.

Mjifunze kwa mwenzenu mama D anaye badilika kulingana na utawala

Rais SSH ni rais sahihi kabisa kwa nyakati hizi

Tulifunga mikanda na Nyerere, tukapewa ruksa ya kupumua na kulegeza mikanda Ali Mwinyi, tukabanwa kwa kujengewa mifumo ya mapato na Mkapa, Tukaichikulia nchi powa na kumwita mzee wetu JK dhaifu, Takanyooshwa na kunidhamishwa bila shurti JPM, Sasa SSH anasawazisha mambo

Ukiwa unajua mchezo wa siasa na unaijua historia ya utawala kwenye nchi hii utaelewa uongozi wa wakuu wetu wa nchi chini ya CCM kila wanapoachana madaraka
 
Wazanzibar huwa hawana kinyongo kama Watanganyika
True and correct!
We angalia tu jinsi Dr. Hussein Mwinyi anavoiongoza Zanzibar kwa sasa!

Lakini pia rejea Kipindi cha Awamu ya 2 ya Mzee Ali Hassan Mwinyi halafu li nganisha vipindi vya Wababe wa Bara(A3 na A4) Mkapa Makonde, Kikwete Mkwere na Magufuli Msukuma. You can really see the difference.
 
Ni siku ya 20 leo tangu aapishwe kuwa Raisi.

Hata awamu ya 5 ilianza na MANENO then baada ya hapo ikafuata sheria.

Tumpe muda. mtoto huanza kwa kukaa, kutambaa, kusimama then ndio hutembea.

I hope so too...
 
..lile limekufa mdomo wazi..hatokuja kuona watanzania wakipata ahueni ya Maisha aliyowavurugia...MTU mbaya sana...
 
Naona kasahau kusema kufunguliwa kwa vyombo vya habari vilivyokuwa vimefungwa kiende sambamba na kuyafungia yale magazeti ya Musiba na kuondoa ada za kusajili blog & YouTube channels...
Wee thubutu yake....!! Wajaribu waone moto wa mama!

Nkamia, Vibajaj, Msukuma, Ally Kessy na Supukali Ndugai saa hizi KIMYAAAAAA...!!! Yooote hii ilikuwa na bado ni list ya mijitu ya CCM yenye Roho mbaya sana kuliko hata Ibillisi mwenyewe!

Mama SSH lazima achunge sana hii bichwa ya wavuta bhang na ughoro wasije wakamharibia mummy!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…