Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa wewe kama lile dikteta lenu uchwara.... Eti ooh ilani za ccm. Kwahiyo kufungia vyombo vya habari ilikuwa ni ilani ya ccm?Mama anatekeleza sera na ila za ccm hutaki kufa
Huyu mama hana roho mbaya Kama ya Jiwe.Ni smart na hataki ujinga.Vifunguliwe na wafuate taratibu
Habari na taarifa ni muhimu sana kwa jamii
Wakianza kuandika tena habari za uchochezi na kuhamasisha hujuma kwa nchi yetu washughulikiwe ipasavyo
Acha tupunguze stress za Mr. Stone maana tulisota sana kipindi cha Jiwe!Mama anajua kutufurahisha
Wazanzibar huwa hawana kinyongo kama WatanganyikaNaona mama naye ni mama wa ruksaa
Acha tupunguze stress za Mr. Stone maana tulisota sana kipindi cha Jiwe!Mama anajua kutufurahisha
Huyu sio jiwe.Ni siku ya 20 leo tangu aapishwe kuwa Raisi.
Hata awamu ya 5 ilianza na MANENO then baada ya hapo ikafuata sheria.
Tumpe muda. mtoto huanza kwa kukaa, kutambaa, kusimama then ndio hutembea.
Ipo hivyo,hatupo nae kimwili tu,kiroho tupo pamoja.Mataga unateseka ukiwa wapi? [emoji2][emoji2][emoji2] Haya tufanye mfanye jiwe ndo rais wako basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji706][emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaenda kuchumbia kwa Bi mkubwaNgoja tuone mwanzo huu utakavyoendelea.
Walioiharibu hukuwaona?Huyu mama tangu siku ya kwanza nilijua tu atakuja kuiharibu nchi.
Ngoja nimwite na cocochanel nisikie maoni yake maana wewe na yeye akili kama zipo sawa hivi.
Mjifunze kwa mwenzenu mama D anaye badilika kulingana na utawala
True and correct!Wazanzibar huwa hawana kinyongo kama Watanganyika
Ni siku ya 20 leo tangu aapishwe kuwa Raisi.
Hata awamu ya 5 ilianza na MANENO then baada ya hapo ikafuata sheria.
Tumpe muda. mtoto huanza kwa kukaa, kutambaa, kusimama then ndio hutembea.
Wee thubutu yake....!! Wajaribu waone moto wa mama!Naona kasahau kusema kufunguliwa kwa vyombo vya habari vilivyokuwa vimefungwa kiende sambamba na kuyafungia yale magazeti ya Musiba na kuondoa ada za kusajili blog & YouTube channels...
Jane Lowasa una sura nzuri ila roho sasa!Huyu mama tangu siku ya kwanza nilijua tu atakuja kuiharibu nchi.
Tupo nae na nani? Linachomeka huko [emoji3][emoji3][emoji3] bensaanane, Azory, mawazo, akwilina...
Ngoja tusubiri tuone mkuu.Next step ni hiyo ya kufuta sheria zote za kichawi na kishetani za mcwendazake.
Pole sana, nadhani uko dunia yako. anaharibu vipi hapo kwa mfano?Huyu mama tangu siku ya kwanza nilijua tu atakuja kuiharibu nchi.