Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Magufuli's legacy still lingering in the minds
 
Sipendi upotee

Ha ha haaaa
Mimi naweka kigoda.. nikae vizuri.. kwa sasa ni kuwasoma tu.. wa humu kuwajua.. wapiga ramli.. wanaolia lia kama watoto.. mafisadi wanaoendelea kuogopa.. n.k.
 
Hivyo vijarida vya upinzani visifunguliwe vitaleta uchochezi. Chemical ali alivyomshauri mama
 
Wito kwa wahusika!
Vi-online Tv vilivyofunguliwa ni lazima vielewe kuwa vinatakiwa kufanya kazi lwa mujibu wa sheria na maadili ya kitanzania.
Ni muhimu vipewe masharti magumu na vifanyiwe ufuatiliaji wa hali ya juu.ili visiendeleze uhuni na uchumia tumbo.
 
Nampongeza Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa huo uamuzi mzuri.

Sasa Namwomba Mh. Rais aangalie pia issue ya "Local Channels" katika Ving'amuzi vyetu, nadhani hatukufanya Analysis stahiki ya faida na hasara ya "Local Channels" kuwepo kwenye Ving'amuzi kama dstv, Azam, startime, Zuku nk. Naomba uhitaji wa kupeana (kupata) taarifa kwa wananchi lipewe kipau mbele zaidi ya mambo ya kisheria

Mh Rais, naamini dstv, Azam, startime, Zuku nk. wakiambiwa waongeze kiasi himilivu cha kodi ili kurusha " Local Channel" hawatakataa. Kwavile Mama unawapenda raia wako basi namwomba uwaonee huruma kuepuka gharama za kuwa na Ving'amuzi zaidi ya kimoja ili kupata taarifa fulani.

Ahsante
 
Honeymoon is almost over, tayari ameshafungia raia mwema
Inasikitisha sana. Gerson Msigwa bado anaishi enzi za mwendazake, yaani mawazo yake hayataki kukubaliana na ukweli kwamba kuna mabadiliko kiaina. Analifungia raia mwema kwa sababu za kubumba kabisa. Halafu hii sheria ya magazeti ni ya kipumbavu. Haitoi nafasi kwa chombo husika kujitetea kabla hawajafungiwa. Yaani chombo kinafungiwa kwanza ndipo kijitetee. Crap kabisa.
 
Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya JMT kwa kufanyia kazi hili ombi. Mama na serikali yako, mbarikiwe sana
Ahsante
 
Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya JMT kwa kufanyia kazi hili ombi. Mama na serikali yako, mbarikiwe sana
Ahsante
Iko kisheria ama mwendelezo wa matamko na ubabe? Kwa nini ziliwekwa na zikatolewa? Ukipata jibu tushirikishane ndugu yangu
 
Katika kuupiga mwingi mi nadhani turudi kule wanunua [emoji342] kisha waweka antenna[emoji341] imeisha hiyo haya mengine hakuna mwingi wala mengi ni mle mle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…