Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Ni vyombo gani vya habari ndiyo vilifungiwa
 
Ameanza vizuri
Asilewe tu.Maana watawala wa kiafrica wote uanza vizuri kama malaika mwishowe ugeuka mashetani na kuanza kuwakaanga watu.
Akitembea na watu atafika akitembea mwenyewe kama jiwe atofika.Ukiwasikiliza watu Katu utoanguka utafika salama kwani kioo cha mtu ni watu wanasema nn juu haki.
Viongozi bora waliofanikiwa ni wale walioruhusu uhuru wa habari.
 
Write your reply...Hongeara sana,, Rais wetu kwa maamuzi ya busara..
 
Back
Top Bottom