Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Mataga unateseka ukiwa wapi? [emoji3][emoji3][emoji3] Lile dikteta lenu is no more... Mama kashika usukani sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Rais SSH ni rais sahihi kabisa kwa nyakati hizi

Tulifunga mikanda na Nyerere, tukapewa ruksa ya kupumua na kulegeza mikanda Ali Mwinyi, tukabanwa kwa kujengewa mifumo ya mapato na Mkapa, Tukaichikulia nchi powa na kumwita mzee wetu JK dhaifu, Takanyooshwa na kunidhamishwa bila shurti JPM, Sasa SSH anasawazisha mambo

Ukiwa unajua mchezo wa siasa na unaijua historia ya utawala kwenye nchi hii utaelewa uongozi wa wakuu wetu wa nchi chini ya CCM kila wanapoachana madaraka
 
Huyu mama hana roho mbaya Kama ya Jiwe.Ni smart na hataki ujinga.

Wewe pilipilimbuzi hujielewi hata tone

Rais SSH ni rais sahihi kabisa kwa nyakati hizi

Tulifunga mikanda na Nyerere, tukapewa ruksa ya kupumua na kulegeza mikanda Ali Mwinyi, tukabanwa kwa kujengewa mifumo ya mapato na Mkapa, Tukaichikulia nchi powa na kumwita mzee wetu JK dhaifu, Takanyooshwa na kunidhamishwa bila shurti JPM, Sasa SSH anasawazisha mambo

Ukiwa unajua mchezo wa siasa na unaijua historia ya utawala kwenye nchi hii utaelewa uongozi wa wakuu wetu wa nchi chini ya CCM kila wanapoachana madaraka
 
Wakina mama tunajipanga kufanya maandamano nchi nzima kumpongeza mwanamke mwenzetu kututoa kimasomaso namna hii. Kina baba haya yaliwashinda mkatuendesha kiubabe ubabe kwa miaka 5.

Pia kwenye maandamano yetu tutashinikiza Samia aongoze tu nchi hii bila ukomo. Ameshaweza.
 
Rais SSH ni rais sahihi kabisa kwa nyakati hizi

Tulifunga mikanda na Nyerere, tukapewa ruksa ya kupumua na kulegeza mikanda Ali Mwinyi, tukabanwa kwa kujengewa mifumo ya mapato na Mkapa, Tukaichikulia nchi powa na kumwita mzee wetu JK dhaifu, Takanyooshwa na kunidhamishwa bila shurti JPM, Sasa SSH anasawazisha mambo

Ukiwa unajua mchezo wa siasa na unaijua historia ya utawala kwenye nchi hii utaelewa uongozi wa wakuu wetu wa nchi chini ya CCM kila wanapoachana madaraka
naona nafuu ya nchi hii ni pale ambapo namba 1 akiwa muislamu kwa maelezo yako
 
Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.

Rais Samia amesema haya...

Wizara ya habari, mnapaswa kusimamia vyombo vya habari, nasikia kuna vyombo vya habari mmevifungia, vifungulieni lakini vifuate sheria na kanuni. Tusiwape mdomo mdomo wa kusema tunabinya uhuru wa habari na nataka kanuni ziwe wazi. Tusifungie tu kibabe

Bravo. We see some light at the end of the channel.
 
Angekuwa anaamini katika uhuru wa habari asngesema malalamiko ya waandishi ni "mdomo mdomo kwamba tunabinya."

Samia Hassan is a lightweight, kila anachoongea huwa kinaelea tu hewani, hakina sense. Amesema walofungiwa waachiwe lakini wafuate sheria. Nani alifungiwa bila kufuata sheria? Au sheria ndio zilikuwa mbovu, aseme!

Kama walionewa kwa nini unawaambia wafuate sheria?

Makosa na adhabu yaeleweke. Kwani jbo gani halieleweki kama ni kosa ama sio kosa, kwa mfano?

Haeleweki huyu Mama.

Maybe Sheria zilizopo sasa zitarekebishwa baada ya hili neno lake la leo!?

Tuvute Subra.
 
Pole sana, nadhani uko dunia yako. anaharibu vipi hapo kwa mfano?
Jamaa limeachwa kwene uteuzi limefura kama kifutu ndo maana linasema mama Kaharibu....!!!Lingekuwa limeteuliwa lingepongeza mwanzo mwisho....!!!!
Mitanzania mingine hasa mi- CCM bado haijitambui sana!
 
Angekuwa anaamini katika uhuru wa habari asngesema malalamiko ya waandishi ni "mdomo mdomo kwamba tunabinya."

Samia Hassan is a lightweight, kila anachoongea huwa kinaelea tu hewani, hakina sense. Amesema walofungiwa waachiwe lakini wafuate sheria. Nani alifungiwa bila kufuata sheria? Au sheria ndio zilikuwa mbovu, aseme!

Kama walionewa kwa nini unawaambia wafuate sheria?

Makosa na adhabu yaeleweke. Kwani jbo gani halieleweki kama ni kosa ama sio kosa, kwa mfano?

Haeleweki huyu Mama.
Safi sana umeelezea vizuri
 
Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.

Rais Samia amesema haya...

Wizara ya habari, mnapaswa kusimamia vyombo vya habari, nasikia kuna vyombo vya habari mmevifungia, vifungulieni lakini vifuate sheria na kanuni. Tusiwape mdomo mdomo wa kusema tunabinya uhuru wa habari na nataka kanuni ziwe wazi. Tusifungie tu kibabe

Mama kulifanikisha hilo angemfukuza Hassan Abbas pale wizara ya Habari
 
Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.

Rais Samia amesema haya...

Wizara ya habari, mnapaswa kusimamia vyombo vya habari, nasikia kuna vyombo vya habari mmevifungia, vifungulieni lakini vifuate sheria na kanuni. Tusiwape mdomo mdomo wa kusema tunabinya uhuru wa habari na nataka kanuni ziwe wazi. Tusifungie tu kibabe

Leo Marehemu atatingishika huko aliko na Ndugai hapati tena usingizi kwa kumsikia MTU anapimana ubavu na Jiwe.
 
Back
Top Bottom