Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

Huna akili kabisa!

Sasa yeye ni mjinga kama ana power yote alafu anakwamishwaje?
Sina akili inatoka wapi, kama huwezi kujadiliana kwa staha sio lazima uni quote endelea na hamsini zako. Shenzi type.
 
Tuliposhauri avunje baraza tukaambiwa rais hapangiwi leo ndio anashituka.

"Wakati mmenikabidhi huu mzigo, nilianza kusikia lugha zinasema serikali ya mpito, serikali ya mpito bungeni huko kwa kina Kassim. Nikarudi kwenye Katiba kuangalia serikali ya mpito imeandikwa wapi...sikuona. Nikasema 'anhaa, twendeni.'"- Rais Samia Suluhu
 
Back
Top Bottom