Tuliposhauri avunje baraza tukaambiwa rais hapangiwi leo ndio anashituka.
"Wakati mmenikabidhi huu mzigo, nilianza kusikia lugha zinasema serikali ya mpito, serikali ya mpito bungeni huko kwa kina Kassim. Nikarudi kwenye Katiba kuangalia serikali ya mpito imeandikwa wapi...sikuona. Nikasema 'anhaa, twendeni.'"- Rais Samia Suluhu