THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Yap Lukuvi anafaa Sana, sema wana wanadai kaishia la sabaWilliam lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Huyu ana vitabia kama vya bosi wake aliyepita! Hivyo hafai.William lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Lazima ukweli usemwe akitaka uongozi wake asiwe na stress lazima aongoze kwa mgongo wa wazee,kwa sababu pia siamini kama alijiandaa kushika nyazifa kubwa kiasi kile.Mmsimpangie Mama suluhu Nyie Mataga kila Leo kujipendekeza.
Yeah exactly Mkuu Ila akitaka kujifanya bulldozer na yeye mapema hii atahangaika sana kuanzia kwenye chama mpaka kwenye nchiAnatakiwa awe na mtu ambaye wanaendana... Mtu ambaye anaweza mwambia kitu na akatekeleza, mtu ambaye anaweza shauriana nae vizuri muda wowote, mtu ambaye ni mwanadiplomasia mzuri, mtu ambaye ni mtulivu katika kuongea jambo na kufanya maamuzi, mtu ambaye hana chembe ya ukakasi katika maisha yake ya siasa kipindi cha nyuma, mtu ambaye hakuwa katika nafasi ya maamuzi wakati wa utawala wa JPM...
Kuna yule naibu wa Madini nadhani ni mtu sahihi sana kwake alikuwa Tume ya madini. Nilimuona Bungeni the person is genius.Anatakiwa awe na mtu ambaye wanaendana... Mtu ambaye anaweza mwambia kitu na akatekeleza, mtu ambaye anaweza shauriana nae vizuri muda wowote, mtu ambaye ni mwanadiplomasia mzuri, mtu ambaye ni mtulivu katika kuongea jambo na kufanya maamuzi, mtu ambaye hana chembe ya ukakasi katika maisha yake ya siasa kipindi cha nyuma, mtu ambaye hakuwa katika nafasi ya maamuzi wakati wa utawala wa JPM...
Lazima ukweli usemwe akitaka uongozi wake asiwe na stress lazima aongoze kwa mgongo wa wazee,kwa sababu pia siamini kama alijiandaa kushika nyazifa kubwa kiasi kile.
Mkuu acha ulofa Ccm wazee wake huwajui au nikisemea wazee wa chama unahisi nasemea akina Ridhiwan au kina kigwa?Hebu taja majina ya hao wazee tuone sifa zao
Mkuu acha ulofa Ccm wazee wake huwajui au nikisemea wazee wa chama unahisi nasemea akina Ridhiwan au kina kigwa?
Sometimes ufisadi mwingine ulikua unaibuliwa kwa hujuma tu,sa kama mtu fisadi kwanini chama hakikumfuta uanachama?Kuna wenye kashifa za Ufisadi uliokubuhu.
Chenge! Kwani chenge sio Ccm Au sijakuelewa mkuu?Usije fikiri kwamba kila kitu anachukua toka CCM! Makamu wa Rais lazima awe Mkiristo tena,kutoka dhehebu la nasadiki kwa kanisa moja,takatifu la mitume! So unaweza shangaa Makamu wa Rais akawa Chenge!
Impossible in which sense katiba hairuhusu au?
Inaruhusu ila lazima kuwe na usawaImpossible in which sense katiba hairuhusu au?