Sometimes ufisadi mwingine ulikua unaibuliwa kwa hujuma tu,sa kama mtu fisadi kwanini chama hakikumfuta uanachama?
Chama kimfute uanachama wakati ccm ndiyo ufisadi wenyewe ?Sometimes ufisadi mwingine ulikua unaibuliwa kwa hujuma tu,sa kama mtu fisadi kwanini chama hakikumfuta uanachama?
Chama kingefuta uanachama theluthi mbili ya wanachama (kama kingeamua kupiga vita kweli ufisadi).Sometimes ufisadi mwingine ulikua unaibuliwa kwa hujuma tu,sa kama mtu fisadi kwanini chama hakikumfuta uanachama?
Kwahio chama kimejaaa mafisadi halafu kinatuambia kitovu cha uongozi bora,Subiri tuuone huo uongozi bora wataoibua wakati huu.Chama kingefuta uanachama theluthi mbili ya wanachama (kama kingeamua kupiga vita kweli ufisadi).
Mama alivyomstaarabu hapendi kubughuziwa hutakuja kusikia,,Waislam viongozi wengi hawanaga makuu sema ukali hua wanao kwenye Dini yao tu ila nje ya Dini wastaarabu mno.Dah....achague mkali tu....asiye na aibu...tuendelee kwenye reli yetu ,[emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si tunamutaka Makamu wa Rais atakae kua sawa na Rais wetu kipenzi SSH sio atakaekua na mihemuko pia tunataka mtu ambae atakua anakubalika ndani ya chama ilikuepo mshikamanoMATAGA Bhana kila kitu wanajua wao, hvi ni lazima kutaja hao mawaziri wasio na jipya?
Huyo Mxnge akipewa umakamu tunauzwa mchana kweupe 😂😂😂Usije fikiri kwamba kila kitu anachukua toka CCM! Makamu wa Rais lazima awe Mkiristo tena,kutoka dhehebu la nasadiki kwa kanisa moja,takatifu la mitume! So unaweza shangaa Makamu wa Rais akawa Chenge!
HiiiiHuyo Mxnge akipewa umakamu tunauzwa mchana kweupe 😂
So unamaanisha akina Lowassa, Kikwete, Kinana, Makamba, Mwinyi n.k?Mkuu acha ulofa Ccm wazee wake huwajui au nikisemea wazee wa chama unahisi nasemea akina Ridhiwan au kina kigwa?
Sio lazima Mkuu, hukumbuki utawala wa JK ulivyokuwa?Usije fikiri kwamba kila kitu anachukua toka CCM! Makamu wa Rais lazima awe Mkiristo tena,kutoka dhehebu la nasadiki kwa kanisa moja,takatifu la mitume! So unaweza shangaa Makamu wa Rais akawa Chenge!
Acha ujinga ww hao wazee kama unawapenda nenda kapige nao picha tunachotaka ni maendeleo hilo ndio la msingiLazima ukweli usemwe akitaka uongozi wake asiwe na stress lazima aongoze kwa mgongo wa wazee,kwa sababu pia siamini kama alijiandaa kushika nyazifa kubwa kiasi kile.
Taratibu punguza mihemuko mkuu maendeleo bila taasisi imara? NAHISI UNAOTA AMKA UKAKOJOEAcha ujinga ww hao wazee kama unawapenda nenda kapige nao picha tunachotaka ni maendeleo hilo ndio la msingi
Dah...sasa hapo ndiyo inatakiwa achague mtu...yule ambaye ataweza kufanya vile ambavyo yeye hawezi kuvifanya..kwa sababu ya ustaarabu wake... kwa maslahi ya nchi...na wanyonge 🤣🤣🤣Mama alivyomstaarabu hapendi kubughuziwa hutakuja kusikia,,Waislam viongozi wengi hawanaga makuu sema ukali hua wanao kwenye Dini yao tu ila nje ya Dini wastaarabu mno.