Rais Samia Suluhu akifanya kosa hili uongozi wake utakua mgumu sana

Rais Samia Suluhu akifanya kosa hili uongozi wake utakua mgumu sana

Amteue
Dr Slaa, Mark Mwandosya au mzee Steven Wassira.

Hawa ni watu ambao ni wakomavu kisiasa na hawana ambition za kisiasa tena.

Watamsaidia sana kuliko kuokoteza hayo matakataka yaliyoibuliwa na JPM
Slaa ananunulika kirahisi
Chenge huyu huyu wa vijisenti?
Wasira atapiga watu Makonde hadharani..
Mwandosya umri umeenda..
 
Unajua sheria inasemaje katika kumchagua VP? Zingatie kipengele kisemacho kuwa atashauriana na chama chake- Hapo ndio kwenye taabu!

Hii inamaanisha kuwa si tu atapeleka jina na kupita, bali chama kina nafasi ya kulikataa jina tajwa na Rais.
 
Huyu hafai ni mtu wa mahasira na stress muda wote.
Majaliwa kuwa makamu wa raisi anafaa sana sana.
Yani ndani ya week hizi kuanzia kudanganya umma Magu anaumwa mpaka kufikia takwimu za uongo watanzania hawana imani nae kabisa Mkuu
 
No! ni hatari kubwa sanaaa...
Kuna wasi wasi kwenye Elimu yake. Nasikia La Saba La Zamani, group moja na kina Musukuma. katiba inataka makamu awe na sifa za kuwa Rais.
Na katiba inatamka wazi upande wa elimu: Ni lazima awe na Degree angalau moja, bila kujali ni ya fani gani,
 
Muacheni Rais Samia achague analoona ni chaguo bora. Litakalomsikiliza na kumsaidia katika majukumu, siyo litakalosikiliza 'wazee' ambao wakati wao ulishapita, walishaongoza zamani ilitosha. Walisahau nini ambacho wanataka kukirudia Ikulu?
 

Muacheni Rais Samia achague analoona ni chaguo bora. Litakalomsikiliza na kumsaidia katika majukumu, siyo litakalosikiliza 'wazee' ambao wakati wao ulishapita, walishaongoza zamani ilitosha. Walisahau nini ambacho wanataka kukirudia Ikulu?
Hakuna kijiji bila wazee kumbuka Maneno ya wahenga Mkuu japo huenda hata wewe ukawa Mhenga japo sijui tu.
 
Siyo litakalosikiliza 'wazee' ambao wakati wao ulishapita, walishaongoza zamani ilitosha. Walisahau nini ambacho wanataka kukirudia Ikulu?
Kweli bwana. Wakati mwingine tujifunze kukubali mapito ya majira na nyakati. Na hiki kizazi x,y,z kinakimbia kwa speed ya mwanga ambayo age go wengi hawataweza speed yake
 
Back
Top Bottom