johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona ni kama wanapiga storyRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021....
Sawa, wamezungumza nini, je huwa hawakutani 'is this an isssue'Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021.
--
Mama Samia hakika ni alama ya uongozi uliotukuka, anajua kupanga, anajua kutekeleza. Hakika mama Samia ni shujaa.
Pia bila kusahau, zilianza kelele kutoka kwa watu walewale kuwa Makamu yupo Dar sijui kijitonyama Mara foleni , hakika uongo haiwezi kuisha. Hivyo nashauri Mama Samia apuuze Hawa wapiga ramli.
Mama Samia kanyaga twende, shikilia hapo hapo.
Ole sanare asiachwe siyo kiongozi Bora kabisaVichwa vya Ma RC vinatakiwa kuliwa hapo
Hata mimi nimeshangaa.... hii nayo ni habari? Kukutana na sub-ordinates wake ni sehemu ya majukumu yake ya kila siku.
Ajihadhari Sana na huyo VP wake, amebaki na tabia za jiwe+ kundi analofanana nalo+ uha+ mfumo dumeKazi anaiweza na ataendelea kuiweza. Tatizo mfumo dume umeota mizizi sana Afrika. Kuwa na Dr Mpango kama msaidizi wako tayari ni kujihakikishia ufanisi wa masuala mengi.
Anaonekana kuwa na sifa ya kuamini katika substance ya mtu, ni hulka itakayomsaidia kama anao utayari wa kuipatia nafasi taaluma ya huyo mtu ikawa na uhuru mpana.
Amempa bosi mpya wa TPA miezi sita, ili arekebishe madudu yote ya mtangulizi wake. Na iwe hivyo kwa sekta nyinginezo.
Jiwe, faili zilijaa mezani hadi kitandani. Mzee aliji-stress bure kutumikia watu wasio na shukurani.Faili nyingi mezani kama kawa
Hiki Ni Kipindi Cha KujikombakombaIs there any news?
Kuna watu wakiangalia hizo files hapo,roho zinafanya paa...Faili nyingi mezani kama kawa
Jiwe, faili zilijaa mezani hadi kitandani. Mzee aliji-stress bure kutumikia watu wasio na shukurani.
Hata mimi nimeshangaa, Kuna baadhi ya waTZ bado tuna mizigo mizito vichwani ya kujitua.... hii nayo ni habari? Kukutana na sub-ordinates wake ni sehemu ya majukumu yake ya kila siku.