Rais Samia Suluhu akutana na Makamu wa Rais Philip Mpango Ikulu ya Dodoma

Rais Samia Suluhu akutana na Makamu wa Rais Philip Mpango Ikulu ya Dodoma

Ajihadhari Sana na huyo VP wake, amebaki na tabia za jiwe+ kundi analofanana nalo+ uha+ mfumo dume
Akilegea atajikuta anapokea AMRI
Mheshimiwa Rais anao washauri makini sana. Punguza ukabila mkuu nguruka huyo Dr sio sawa na wale waha wenye fremu za maduka mitaani ni msomi mwenye upeo mkubwa kuhusiana na masuala ya dunia.
 
Alichoongea January Makamba jana Mama alifanyie kazi kwani kuna baadhi ya watu sio wazuri kwake ila namshauri atumie watu kupata ushahidi kama ni kweli awatimue akiwatimua wawili watatu watajifunza.
Kwani alishasema ni marufuku mtu kuzungumzia au kujipitisha kwa ajili ya kugombea Urais
 
Vipi huo mpango kumtoa mama ambao wabunge wapuuzi wanafikiria kazi rahisi wajue kuwa mama anajya upuuzi wao wote mama yuko prof siasa nyuma yake system pia na jeshi plus katiba wakizingua tunavunja bunge tuanze uvhaguzi upya nusu wabunge hawarudi bungeni .......wenye hila tunawapa kesi uhaini
 
Hata mimi nimeshangaa.
Yaani Rais kukutana na makamu wake ofisini nayo ni habari?
How?
Huwa hawakutani?
Kuna kipya au ajabu?

Yaani ni sawa na mume kulala na mkewe chumba kimoja na kitanda kimoja nayo iwe ni story ya kuzungumziwa mtaani!
... ukisikia vivid example ndio kama huo mfano uliotoa! Wangekuwa hawakutani at least ndio ingeweza kuwa habari; ila kukutana kwa masuala ya kiofisi it's normal; that is how it should be; it's obvious! Asante sana.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021.

--
Mama Samia hakika ni alama ya uongozi uliotukuka, anajua kupanga, anajua kutekeleza. Hakika mama Samia ni shujaa.

Pia bila kusahau, zilianza kelele kutoka kwa watu walewale kuwa Makamu yupo Dar sijui kijitonyama Mara foleni , hakika uongo haiwezi kuisha. Hivyo nashauri Mama Samia apuuze Hawa wapiga ramli.

Mama Samia kanyaga twende, shikilia hapo hapo.

Wacha kutengeneza wabaya wa Mama Ndotoni, hivyo hivyo mlimfanya JPM aamini kuna vita ya kiuchumi kichwani kwa kumwambia kuna wapiga ramli. Rais hana wasiomtakia mema.
Ila tunapongeza ofisi leo imepangwa sio kama ile tuliyoiona kipindi kile cha simu ya China.
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Madame Samia Suluhu Hassan
Akiwa Kazini
Ok sawa, tuletee habari sasa. Rais kuwa ofsini kwake, ni katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku. Kama huna habari, kukaaa kimya ina maana zaidi kuliko hicho ulicho post.
 
Ok sawa, tuletee habari sasa. Rais kuwa ofsini kwake, ni katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku. Kama huna habari, kukaaa kimya ina maana zaidi kuliko hicho ulicho post.
Wewe Mwenyewe Una Nongwa Siyo Bure
 
Back
Top Bottom