Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mheshimiwa Rais anao washauri makini sana. Punguza ukabila mkuu nguruka huyo Dr sio sawa na wale waha wenye fremu za maduka mitaani ni msomi mwenye upeo mkubwa kuhusiana na masuala ya dunia.Ajihadhari Sana na huyo VP wake, amebaki na tabia za jiwe+ kundi analofanana nalo+ uha+ mfumo dume
Akilegea atajikuta anapokea AMRI
Una akili za kuteleza kwenye ganda la ndiziAjihadhari Sana na huyo VP wake, amebaki na tabia za jiwe+ kundi analofanana nalo+ uha+ mfumo dume
Akilegea atajikuta anapokea AMRI
Na msomi mwenye msimamo.Mheshimiwa Rais anao washauri makini sana. Punguza ukabila mkuu nguruka huyo Dr sio sawa na wale waha wenye fremu za maduka mitaani ni msomi mwenye upeo mkubwa kuhusiana na masuala ya dunia.
Ya Sabaya ni madogo sanaSabaya kikaangoni
... ukisikia vivid example ndio kama huo mfano uliotoa! Wangekuwa hawakutani at least ndio ingeweza kuwa habari; ila kukutana kwa masuala ya kiofisi it's normal; that is how it should be; it's obvious! Asante sana.Hata mimi nimeshangaa.
Yaani Rais kukutana na makamu wake ofisini nayo ni habari?
How?
Huwa hawakutani?
Kuna kipya au ajabu?
Yaani ni sawa na mume kulala na mkewe chumba kimoja na kitanda kimoja nayo iwe ni story ya kuzungumziwa mtaani!
Wacha kutengeneza wabaya wa Mama Ndotoni, hivyo hivyo mlimfanya JPM aamini kuna vita ya kiuchumi kichwani kwa kumwambia kuna wapiga ramli. Rais hana wasiomtakia mema.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021.
--
Mama Samia hakika ni alama ya uongozi uliotukuka, anajua kupanga, anajua kutekeleza. Hakika mama Samia ni shujaa.
Pia bila kusahau, zilianza kelele kutoka kwa watu walewale kuwa Makamu yupo Dar sijui kijitonyama Mara foleni , hakika uongo haiwezi kuisha. Hivyo nashauri Mama Samia apuuze Hawa wapiga ramli.
Mama Samia kanyaga twende, shikilia hapo hapo.
Ok sawa, tuletee habari sasa. Rais kuwa ofsini kwake, ni katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku. Kama huna habari, kukaaa kimya ina maana zaidi kuliko hicho ulicho post.Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Madame Samia Suluhu Hassan
Akiwa Kazini
Wewe Mwenyewe Una Nongwa Siyo BureOk sawa, tuletee habari sasa. Rais kuwa ofsini kwake, ni katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku. Kama huna habari, kukaaa kimya ina maana zaidi kuliko hicho ulicho post.