Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Atachukiwa na walio wachache ukiwemo wewe kama ilivyokuwa kwa Mtangulizi wake.
 
Ohooo huyu mama mtamboo soon,hivi akifanya kila mtu anavyotaka itakuaje?
Namuhurumia sana.
Vifurushi tz mko vizuri ukilinganisha na nchi nyingine.
 
Tuonyeshe vya hizo nchi nyingine ili tulinganishe.
 
Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Mjomba hujaambiwa anashinda mtandaoni. Mtu kuweka tweet moja mbili kwasiku ukapata na response za wananchi wako si mbaya. Magufuli alikua na account ya tweeter mbona hamkusema anashinda mtandaoni
 
Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Twitter ni wahuni?
 
Kwa akili yako unadhani hiyo account anajibu yeye? Wasaidizi wake ndiyo wanafanya hiyo kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…