Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

Rais wako wewe ni Jiwe.
Acha usaliti.
 
Rais asikilize maoni ya umma na kuyafanyia kazi, Sio Kama yule mwingine aliyesema hapangiwi wakati aliomba kura.Rais ni mtumishi wa umma, anapaswa wajibika kwa umma
 
Hi
Hivi Twitter bado haipatikani bila VPN? Kama ndio, VPN si illegal nchini.
 
DONALD
Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Nadhani TRUMP alikuwani kiboko hadi tweeter wenyewe wakamfuta
 
Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.

Wananchi walio wengi ndo wakina Nani. Hawa wanaoandika uzi na kupigiana simu Waje wacomment. Mtu asiyependwa angeshasahaulika. Lakini Ona hata wewe huwezi comment bila kumtaja jembe. Hate love relationship. JPM amemaliza mwendo Wake bado wewe mnafiki.
 
Mwenyezi Mungu aniepushie mbali hii dhambi! Ila ukweli utaniweka huru! The former President was the worst! Nilimpinga alipokua hai, na nitampinga hata sasa akiwa marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…