mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
KabisaaaUnaniona kama D hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaaaUnaniona kama D hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuibiwa Kura na JoeAkaishia wapi
HehehehKuibiwa Kura na Joe
Ushahidi ni upi?Watu walitaka wahakikishe je ni kweli ili roho zao zipumzike
Rais wako wewe ni Jiwe.Hao ni 2% tu ya raia wote hapa nchini.
Hakuna mtu anapendwa na kuchukiwa na wote, hakuna duniani.
Kama unabisha nioneshe mmoja wapo?
Kwenye familia yako tu mitoto yako kuna baadhi haikuopendi sembuse nchi ya watu milioni 60?
Hata rais wangu Samia hawezi kuingia kwenye mtego wa kijinga kwamba eti atapendwa na kila mtu
MACHAGADEMA ndio yalikuwa yanamchukia.Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Kwani huyo waziri alijiamulia bila Rais kubariki? kwanini mnalaumu mlipoangukia badala ya mlipojikwaaHili suala la vifurushi ni very sensitive.. Amfukuzie mbali Ndungulile..
Hivi Twitter bado haipatikani bila VPN? Kama ndio, VPN si illegal nchini.Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo.
Hii inakuwa post yake ya kwanza kuifutilia mbali tangia awe Rais rasmi wa Jamhuri ya muungano ambapo wengi wa wachangiaji wake wamemuomba kutengua uteuzi wa waziri wa teknolojia ya habari ndugu Faustine Ndugulile na mkurugenzi mkuu wa TCRA kutokana na kutokuchukulia maanani uzito wa malalamiko yao kuhusu malipo ya bando la mitandao yote ya mawasiliano nchini.
Tusubiri tuone!
Inategemea na thamani ya fedha ya nchi husika usipotoshe[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1742575
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kujazana barabarani ndo ushahidi wenyewe wengine walienda kufanya sherehe nyumbani na kuchinja mwanambuzi alienonaUshahidi ni upi?
Hoja hupingwa Kwa hoja..thibitisha nilichoandika siyo kweli kabla hujasema napotoshaInategemea na thamani ya fedha ya nchi husika usipotoshe
Yupo katika makundi uliyoyatajaJPM alichukiwa na wauza ngada, mafisadi, misheni town, vyeti feki na wahujumu uchumi, sijui wewe upo kundi gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Check East Africa.
BalvejmumtView attachment 1744728View attachment 1744729View attachment 1744730Inategemea na thamani ya fedha ya nchi husika usipotoshe
OkBalvejmumtView attachment 1744728View attachment 1744729View attachment 1744730View attachment 1744731
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nadhani TRUMP alikuwani kiboko hadi tweeter wenyewe wakamfutaHakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Acha unafiki mtangulizi wake alichukiwa na nani?Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Na mimi! Una swali lingine?Acha unafiki mtangulizi wake alichukiwa na nani?
Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Mwenyezi Mungu aniepushie mbali hii dhambi! Ila ukweli utaniweka huru! The former President was the worst! Nilimpinga alipokua hai, na nitampinga hata sasa akiwa marehemu.Wananchi walio wengi ndo wakina Nani. Hawa wanaoandika uzi na kupigiana simu Waje wacomment. Mtu asiyependwa angeshasahaulika. Lakini Ona hata wewe huwezi comment bila kumtaja jembe. Hate love relationship. JPM amemaliza mwendo Wake bado wewe mnafiki.