johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wapi peponiAhaa kwa hiyo yuko pamoja na hayati
Ahaa kwa hiyo yuko pamoja na hayati
Kasema kweli ndivyo kasema na kasisitiza wajikite kwenye budget hayo mengine watayazungumza njeKavideo tafadhari
Maana nyie huwa hamuaminiki kivileeee
Hata Lisu alipoambiwa ukweli kwamba anasaliti nchi kwa kututisha tutashitakiwa MIGA alichukia sana.Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli .
Rais Samia amesema yeye na hayati Magufuli ni kitu kimoja.
Mbowe ,Lisu ,Nape chali tenaHuu ndio ukweli JPM legacy yake haiwezi kutolewa na mtu au kundi la watu hata siku moja na itachukua muda sana kufanya hvyo Samia mwenyewe anajua hilo nashangaa machawa na viherehere kuanza kuleta mgongano ambao hauna afya kwa Taifa.
Kibajaji, Jah people na Msukuma waipate hiiRais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli .
Rais Samia amesema yeye na Hayati Magufuli ni kitu kimoja.
Japo mama Kuna kipindi alikuwa kama anataka kuyumba naona wamemshika sikio kuwa hawezi kujitenga na JPM hata siku moja watu wanaona na kura za kanda ya ziwa zinaitajika sana mwaka 2025Mbowe ,Lisu ,Nape chali tena
Wewe ni Msemaji rasmi wa Rais Samia? Mbona hujaweka uthibitisho wowote? Kirahisi tu unataka wote tukuamini?Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli .
Rais Samia amesema yeye na Hayati Magufuli ni kitu kimoja.
Huwa mnafikiria kwa kutumia nini?Kibajaji, Jah people na Msukuma waipate hii