Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

Huu ndio ukweli JPM legacy yake haiwezi kutolewa na mtu au kundi la watu hata siku moja na itachukua muda sana kufanya hvyo Samia mwenyewe anajua hilo nashangaa machawa na viherehere kuanza kuleta mgongano ambao hauna afya kwa Taifa.
Sikiliza hiyo Sexless
 
Huwa mnafikiria kwa kutumia nini?

Wale ndo walikuwa wanawapinga wenzao kuwa wanafiki.....Kibajaji alisema wanaomponda Magufuli watamponda pia Samia.....hawakujipendekeza
Wameambiwa wajadili bajeti. Sasa hapo alikuwa anajadili bajeti ya eneo gani?
 
Japo mama Kuna kipindi alikuwa kama anataka kuyumba naona wamemshika sikio kuwa hawezi kujitenga na JPM hata siku moja watu wanaona na kura za kanda ya ziwa zinaitajika sana mwaka 2025
Hakuna siku mama amewahi kuyumba. Mbona yuko consistent na kaulo zake. Toka mwanzo siku anaapishwa alisema yeye amekuja kuendeleza ya Magufuli

Haya mengine ni watu ndo wanamuwekea maneno ambayo yeye hajawahi kutamka kwamba yuko against JPM
 
Kiongozi ukiona Mwalimu wako watu wanamkashifu na kumbeza na ww ukawa kimya ina maana unakubaliana nao au huna ya kusema (No Comment) toka JON amezikwa amebezwa sana .wanasema kitu kama hukipendi kuna njia 3 za kufanya
1 Kukiondoa kwa mikono yako
2 Kusema
3 Kuchukia na kuondoka au kujitenga nacho (hii ni atua dhaifu kabisa )
 
Hapo simply wabunge wameambiwa waache mipasho, yaani Rais haupendi utoto wanaofanya wakiwa bungeni, au zaidi ni kwamba Rais hataki mbunge yeyote awaye ajipendekeze kwake, yeye anataka wafanye kilichowapeleka bungeni na hili agizo linamhusu mpaka Spika na Naibu wake.
Swadakta!
 
Back
Top Bottom