[emoji120][emoji120] umenena vyema mkuu.Huu ujumbe ni mahsusi kwa Spika Ndungai kwani ni yeye anayelea hii mijadala ya kihuni. Anawapa muda wa nyongeza wale darasa la saba wake aliowaanda kuporomosha matusi huku wengine wakiruka ruka kushangilia huku wanakata viuno kama wacheza kigodoro vile. Aibu kubwa sana hii. Asante Mh. Rais kwa kukemea huu ujinga unaoendelea huko Bungeni.
HAKUNA KITU KILINISIKITISHA KAMA KUONA NAMNA VILE VYOMBO VYA JIKONI VILIVYOPASUKA WAKATI MELI YA TITANIC INAZAMA
Chagga Gang mmebaki mitandaoni tu haya endeleeni tu kuwa mashabiki na wakimbizi wa kisiasa japo siasa hamfanyi.
Unatetea wajinga wenzio tu!Hawa unaowataja ndio walizungumza la maana tofauti na kundi la Spika Ndugai na wengine....Yaani Spika Ndugai anatamka bungeni kuwa eti JPM alishauriwa vibaya kuhusu bandari ya Bagamoyo...hata arobaini haijafika Spika anasema hivyo? Kwa hiyo Musukuma, kibajaj na Jah people kauli yao ni ya Watanzania wengi...
Malezi yako yalikuwa na walakini...kawaambie hivyo baba na mama yako mzazi aliyekuzaa na kukuleaUnatetea wajinga wenzio tu!
Mtu anayejitambua hawezi kuona mchango wa maana bungeni kutoka kwa hao wabunge uliowataja.
Wabunge wa L7 wanaotoa mchango ya maana ni Kishimba, Njalu na yule wa Mbogwe.
Kamuulize hivyo baba yako aliyekuzaa na pia mama yako aliyekuzaa...unaweza kupata majibu kutoka kwaoKwani kusema hivyo ni kosa au kuna kanuni inayo taka mhalifu asisemwe kabla ya arobaini?
Na waziri Mkuu pia ajitathimini!Spika jitathimini...unalipeleka bunge wapi??
Aisee kama hujui position yako tayari imekuwa quarried na Rais wa nchi.
kazi unayo!!
😍😍Ujumbe wa moja kwa moja kwa wanaccm wawakilishi wa wananchi ni kuwa acheni kujibizana mkilinganisha raisi wa ccm aliyepita na raisi wa ccm wa sasa.
Upinzani nao wamekumbushwa acheni kumshabikia raisi wa sasa kutoka ccm kwa kumponda raisi wa ccm aliyepita.
Upinzani jengeni chama, Ccm imarisheni chama.
Ujumbe umefika.Mijadala isiyo na afya isiDemkiwe
Ujumbe wa moja kwa moja kwa wanaccm wawakilishi wa wananchi ni kuwa acheni kujibizana mkilinganisha raisi wa ccm aliyepita na raisi wa ccm wa sasa.
Upinzani wa huko mitandaoni nao wamekumbushwa acheni kumshabikia raisi wa sasa kutoka ccm kwa kumponda raisi wa ccm aliyepita.
Upinzani jengeni chama, Ccm imarisheni chama.
Bora mimi niliyepata malezi kutoka kwa baba na mama.Malezi yako yalikuwa na walakini...kawaambie hivyo baba na mama yako mzazi aliyekuzaa na kukulea
Unampa Kibajaji dakika 15?![emoji120][emoji120] umenena vyema mkuu.
Ndugai ni janga kabisa. Anaendekeza siasa za kibabe na kishamba. Ni aibu kabisa!
Hujapata malezi hayo kutoka kwa wazazi wako...hata hao chokoraa ni binadamu Kama binadamu wengine...ni maisha tu na matatizo ya jamii ndiyo yamewafanya kuwa chokoraa...mtu making, aliyelelewa vizuri na mstaarabu na mwenye hekima na busara kamwe hawezi kuwacheka chokoraa...Bora mimi niliyepata malezi kutoka kwa baba na mama.
Wewe utakuwa chokora uliyezaliwa na kukulia mitaani. Huna maadili yoyote kama walivyo hao kina Lusinde unaowahusudu.
Waache kudemka ,dah hilo nalo nenoWameambiwa wajadili bajeti. Sasa hapo alikuwa anajadili bajeti ya eneo gani?