Hili si marais wote wanaoliweza. Mama samia Mungu akuhifadhi.Mtoto Georgina Magesa (8) ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpatia zawadi ya kitabu, huku tukio hilo likivuta hisia za watu wengi baada ya Rais Samia kumkalisha mtoto huyo katika kiti chake (Kiti cha Rais).
Hayo yametokea leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi wa minara 21 ya kurushia matangazo ya televisheni ardhini (DTT) ya kampuni ya Azam Media.
My Take:
"Tendo hili ni motisha kubwa kwa mabinti wa kitanzania kuwa inawezekana siku moja kufikia ndoto zao wakijituma na kujibidiisha"
Video Credit Mwananchi
View attachment 2626238
Kwamba hili ni jambo la ajabu sana?Hili si marais wote wanaoliweza. Mama samia Mungu akuhifadhi.
Naomba mwenye picha kubwa ya mtoto akiwa kitini aiweke hapa pleaseMtoto Georgina Magesa (8) ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpatia zawadi ya kitabu, huku tukio hilo likivuta hisia za watu wengi baada ya Rais Samia kumkalisha mtoto huyo katika kiti chake (Kiti cha Rais).
Hayo yametokea leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi wa minara 21 ya kurushia matangazo ya televisheni ardhini (DTT) ya kampuni ya Azam Media.
My Take:
"Tendo hili ni motisha kubwa kwa mabinti wa kitanzania kuwa inawezekana siku moja kufikia ndoto zao wakijituma na kujibidiisha"
Video Credit Mwananchi
View attachment 2626238
HaisadiiHii inasaidia nini sasa kwenye kuinua uchumi wa watanzania waliopo katika dimbwi la umasikini! cheap politics Africa imelogwa
Hangaika na uchumi wako na mmeo/mkeo na watoto wako mengine yaache yapiteHii inasaidia nini sasa kwenye kuinua uchumi wa watanzania waliopo katika dimbwi la umasikini! cheap politics Africa imelogwa
Mtoto Georgina Magesa (8) ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpatia zawadi ya kitabu, huku tukio hilo likivuta hisia za watu wengi baada ya Rais Samia kumkalisha mtoto huyo katika kiti chake (Kiti cha Rais).
Hayo yametokea leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi wa minara 21 ya kurushia matangazo ya televisheni ardhini (DTT) ya kampuni ya Azam Media.
My Take:
"Tendo hili ni motisha kubwa kwa mabinti wa kitanzania kuwa inawezekana siku moja kufikia ndoto zao wakijituma na kujibidiisha"
Video Credit Mwananchi
View attachment 2626238
Kama unashindwa kutambua umuhimu wa Kiti,utakuwa unaharibikiwa hata kwenye kazi kupitia Kiti unachokalia ofisini. Ombea Kiti chako popote utakapokuwa. Au hata kama una mtoto au ndg,fanya maombi kwa Mungu kuombea sana nafasi yake kwa kuombea kiti anachokalia. Nafasi ya mtu popote ofisini ni kiti. Wapo wengi wamepoteza nafasi zao kwa kushindwa kuombea kiti na kuishia kiti kutekwa na mtu mwingine kwenye ulimwengu wa giza...kiti cha Raisi kina nini mpaka iwe ni tukio au habari kubwa mtoto kukikalia?
..je, Raisi atakuwa anaruhusu watoto kukalia hicho kiti kila siku?
..Na Tanzania yetu ina watoto wa ngapi? Na hitaji au shida namba moja ya watoto wa nchi hii ni kukalia kiti cha Raisi?