Rais Samia Suluhu alivyomkaribisha mtoto wa miaka 8 kukalia kiti cha Rais

Rais Samia Suluhu alivyomkaribisha mtoto wa miaka 8 kukalia kiti cha Rais

..kiti cha Raisi kina nini mpaka iwe ni tukio au habari kubwa mtoto kukikalia?

..je, Raisi atakuwa anaruhusu watoto kukalia hicho kiti kila siku?

..Na Tanzania yetu ina watoto wa ngapi? Na hitaji au shida namba moja ya watoto wa nchi hii ni kukalia kiti cha Raisi?
Mgawa talanta ni Mungu pekee.
 
Ma shaa Allah

Huyo ndiye mama wa ukweli, anaependa wajukuu zake.

Kudos mama Samia.
 
Hii inasaidia nini sasa kwenye kuinua uchumi wa watanzania waliopo katika dimbwi la umasikini! cheap politics Africa imelogwa
Africa imelogwa kwa kuwa na watu wanaofikiri kwa udogo na ufinyu kama wewe, schupidii
 
Africa imelogwa kwa kuwa na watu wanaofikiri kwa udogo na ufinyu kama wewe, schupidii
Ila chawa kazi mnayo, kwahiyo mtoto kukaa kwenye kiti cha rais nayo mnaona ni kitu cha maana sana! Kweli fikra za kijamaa ni tatizo, maana huko rais huonekana kama Mungu.
 
Dah!

Tumefikia hivi? Basi siku tukipata picha anakula tutafungua UZI
 
Ngoja nilianzishe humu !!!

HUYOOOO MTOTO SYSTEM EHH SHAURI ZENU

[emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom