ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Mgawa talanta ni Mungu pekee...kiti cha Raisi kina nini mpaka iwe ni tukio au habari kubwa mtoto kukikalia?
..je, Raisi atakuwa anaruhusu watoto kukalia hicho kiti kila siku?
..Na Tanzania yetu ina watoto wa ngapi? Na hitaji au shida namba moja ya watoto wa nchi hii ni kukalia kiti cha Raisi?