hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hapo ndio ujue Sasa mwizi alikuwa ninani . [emoji3]Mbona tuliambiwa awamu ya tano hakuna wizi wala ubadhirifu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio ujue Sasa mwizi alikuwa ninani . [emoji3]Mbona tuliambiwa awamu ya tano hakuna wizi wala ubadhirifu?
Halafu ukimjuaHii kitu kigogo alisema jana! Hivi huyu kigogo ni nani jama
[emoji16][emoji16][emoji16]TAFUNA PESA ATUMBULIWI MTU
[emoji3][emoji3][emoji3]Kigogo yupo Ikulu.
Tunasumbuana tu.
Jana alipost hiyo issue Twitter alisema kuwa kakoko Leo atapigwa chiniKwani alisemaje Kigogo
Unauliza jibu !?Why was he untouchable? Was he eating with giants?
Kama vile Mfungale alikuwa ana jenga madaraja Bure
THE BIG SHOW said:
Hatukatai kuwaenz waasisi wa nchi kama nyerere,karume hata wastaafu ma marehem Kama mkapa,na kadhalika,unatoa majina Kama kumbu kumbu kwa vizaz vijavyo kuwa huyu alikuwa RAIS wa jamhuri aliyafanya haya na haya,sasa unatuwekea mtu Kama Mfugale kuliua jina la tazara flyover kwa mantiki gan?Kama siyo ushamba
Nadhani ripoti zote za ukaguzi ziwe za kampuni, taasisi huwa hazitoi adhabu yenyewe huwa zinaanika maovu na kuacha mamlaka zichukue hatua...Kisa ubadhirifu mkubwa bandarini. Ripoti ya CAG yamkaanga japo CAG hakutoa pendekezo la kumsimamisha kazi, badala yake wamesimamishwa wa chini. Mheshimiwa Rais kaamua kumtumbua mkubwa.
Source : TBC.
MmmhWateule wa JPM hao sasa iweje wafikie hatua ya kuwa wezi? Hapa ndio napata picha JPM hakuwa mzalendo
Pale patasafishwa na sera nzuri sio hii fukuza fukuza , waziri mkuu amerudi hapo Mara nyingi sana na bado rushwa ipo , na itandelea kama Rais naye ataendeleza utaratibu wa 'the late'safari hii Bandari itasafishwa mpaka kuwe kweupeeee,
Rais Samia amesema hakuwa na subira ktk ubadhirifu na rushwa.
tutegemee matendo zaidi ktk kipindi chake.
nimuulize tu swali moja! Amewezaje kuifanya serikali ijinyee ndani ya nguo zake?Halafu ukimjua
KabisaSi jambo baya maana walichukua maamuzi ha kuyachunguza kabla ya kuanza kukagua, ila kawasisitiza kuendelea hivohivo.
SaaanaNa kama angekuwa prof Assad tungesikia mengiii
Bila kuitaja TRA hamridhiki? CAG kasema TPA ww unataka TRAMbona TRA hawajamlikwa?
Kwakweli kigogo![emoji119]Shikamoo Kigogo
Acha umbea na ukuda...ingekuwa hakuna wizi au ubadhirifu mzee angekuwa anatumbua watu kila kukicha.Mbona tuliambiwa awamu ya tano hakuna wizi wala ubadhirifu?
Wenzako walijadili hili kwenye magroup yao wa wasap, kilichofuata kila walichojadili kigogo alipost!kigogo,vigogo,hii ni taasisi inayofanya kazi kwa siri,ni taasisi ambayo ina connection na mjengoni kwa siri.ila nia ya hii taasisi ya vigogo kwa haraka haraka unaweza kusema ni njema,bt deeply wako after something.mama Samia anatakiwa a reform taasisi ya urais,ni aibu Mambo ya ikulu yanafahamika kirahisi hata kabla rais hajayafanyia kazi.Tiss inatakiwa itolewe yote iingizwe mpya kabisaaa.na Kama vipi idara ya TISS ivunjwe.waachiwe jwtz hiyo kazi.
Natamani katiba ingekuwa inaruhusu prof Assad arudi kaziniNashauri Kigogo ajengewe sanamu
Jipu hili marehemu hakulionaSafi sanaaaaa motooo ni uleule kutumbua majipu