Rais Samia Suluhu anafanya vizuri bei ya mafuta ukanda wa maziwa makuu

huyo siyo kiazi amefananisha kwakuwa chadema wanasambaza habari kuwa kwanini zambia mafuta yako chini kuliko huku yanapopita? unaona ujinga wa chadema sasa?
Siyo chadema bana ni Sukuma gang
 
Acha kuwa mpuuz mtoa mada hujui nchi nyingi za afrika mashariki kama zinapokelea mafuta bandari gani!? Au kwa njia ipi!? Hvyo lazima bei zao ziwe juu sana
 
Acha kuwa mpuuz mtoa mada hujui nchi nyingi za afrika mashariki kama zinapokelea mafuta bandari gani!? Au kwa njia ipi!? Hvyo lazima bei zao ziwe juu sana
Lakini bei ikoje bro
 
Inabidi tu rais atetewe kama mtoto wa darasa la kwanza. Inakuwaje bei ya mafuta Rwanda na Burundi inakuwa sawa na ilivyo Tanzania wakati hawa jirani zetu wanapitisha mafuta bandarini kwetu ambapo wanalipa gharama za upakuaji na usafirishaji kwa umbali mrefu? Nyie wateteaji wa kulipwa tunawajua mpo kwenye kibarua chenu.
 
Wakuu,

Jee hii tofauti kubwa ya bei kati ya Zanzibar na Bara haitasababisha biashara ya magendo ya mafuta baina ya visiwani na Bara?
 
Siasa Ni dondandugu Kwa maendeleo ya binadamu .
Yani mpaka vitu vya msingi unaweka siasa?
 
Wasililize walio na akili si wewe CM 1774858 mpuuzi unayebwabwaja:

Your browser is not able to display this video.
 
Mama ww fanya kinachowezekana tu mm nimejikabidhi kwako
 

Kwa nini mnahangaika na nchi za mbali wakati kuna jirani yetu hapo 70km away?

 
Ninamtetea mama kwa lugha hii; mzigo wa mafuta ni hizo tozo za serikali. Jiwe alirithi na kuongeza tozo zaidi katika miaka yake yote 5+ bila kupunguza hata moja.
Lakini mama amepunguza na anaendelea na jitihada za kupunguza au kuziondoa. Hivyo basi sioni sababu ya mama kupigiwa kelele juu ya bei ya mafuta. Hili ni tatizo lililotoka mbali. Jiwe aliondoa road license na kuhamishia ktk mafuta, tulifurahi sana kwakuwa magari ya wengi yalikuwa na vimeo. Kumbe tulikuwa tunahamisha tatizo tunalo lalamika sasa.
 
Hujatumia ubongo wako wote katika kuleta hoja hii. Umesahau kama hizo nchi zote ulizotaja ni landlocked na shehena zao za mafuta zitapita katika nchi yetu ten wengi kwa kutumia usafiri wa barabara zetu. Hizo nchi tayari zimeingia gharama kubwa za usafirishaji tofauti na sisi. Hivyo Tanzania bado bei ya mafuta ilitakiwa iwe kulinganisha na hizo nchi. Kama Taifa bado tunatakiwa kufanya kitu ili angalau biei ya mafuta ishuke kidogo. Kinyume na hapo nchi inaingia katika kitu kinaitwa Hyper Inflation.
 
tuko vizuri sana,
Kilio cha wengi harusi,
Mbona ZAMBIA chadema walisema bei ni ndogo jamani, kumbe wazushi tu
Tuko vizuri tukijilinganisha na wenzetu,

Tuache kulalamika
 
Uko sahihi kabisa,
 
Kati ya awamu zilizokubuhu kwenye tozo ni awamu ya 6 hadi karibu rais aitwe Mama Tozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…