Rais Samia Suluhu anafanya vizuri bei ya mafuta ukanda wa maziwa makuu

Hao Warundi, Wanyarwanda na Wazambia pia wana Bandari kama Sisi ?
 
Zanzibar ndio nchi gani? Ila CHADEMA nyie ni majinga sana
We kiazi ,ebu niambie ni kituo gani cha mafuta au soko gani la bidhaa linalomilikiwa na chadema au ccm,ugumu huu wa maisha unamuumiza kila aliye mtanzania anayeishi tanzania, kwa twakimu iliyopo mpaka sasa zanzibar na wanzanzibar hawapo kwenye maumivu hayo, so elewa lawama hizi sio za chadema wali ccm punguwani wewe.
 
Nyie CHADEMA ni lini mtajifunza kujenga hoja bila kutukana?
 
Huwa napenda sana aina ya uandishi wako,

Sina comment, kazi imekwisha,
 
VIPI MAREKANI MBONA HUJAWEKA?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ww ni mzalendo wa kweli, Watanzania wanatapeliwa maneno,
 
Nimeelewa, Pole Mama Samia hawa ndio watanzania wako
 
Bado hakuna kama Samia, Mimi pamoja na Uchadema wangu nakubali hili,
 
Kati ya awamu zilizokubuhu kwenye tozo ni awamu ya 6 hadi karibu rais aitwe Mama Tozo.
Kwasababu ya uwazi wa mama Samia na ktk tozo ya miamala ya simu, mchanganuo unatolewa katika kila muhamala. Lakini kwa tozo za mafuta mchanganuo hautolewi unapokuwa umenunua mafuta. Hivyo basi inaonekana mama kaleta tozo. Kumbe tozo zipo siku zote.
Siku receipt za mafuta zitakapo kuwa zinatoa mchanganuo wa tozo, yaani kiasi cha tozo, inapoenda (mamlaka) na iliidhinishwa awamu ipi? ndipo watu watajua mama yupo vizuri kiasi gani.
 
Mama yuko vizuri mno, lazima tuelewe hivyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…