Rais Samia Suluhu anafanya vizuri bei ya mafuta ukanda wa maziwa makuu

huna akili we kiazi cha kutupwa!! unafananisha land locked countries na nyie mnaoshusha mafuta kutoka kwenye meli moja kwa moja.....
Anajua basi hata maana ya "land locked countries" huyo sukule!!??
Nchi haina bahari,haina bandari,mafuta kwao yatafikaje na kuwa rahisi sawa na wenye bandari!!???
 
Kapunguza zipi? Wakati ilitoka 100 akapiga kelele
 

Acha kuongopa, bei za Tarehe 2 May ni kama ifuatavyo





 
Usituwekee nchi za kijinga jinga hizo.tuwekee bei za Kenya,South africa na hapo Zanzibar.
 
Mkuu hiyo analysis haiko sawa Sana..👇

 
Watu kama ninyi hata mkitwangwa kwenye kinu upunguani hauwezi kutoka kichwani.
 
Mama anaupiga mwingi
 
Inasikitisha sana, Mama Samia afanye jambo kwenye hili na siyo kusingizia mambo ya nje...
 
Kila Nchi ipambane na hali yake sisi tunasema wapunguze kodi kwenye mazutu ili angalao yashuke.

Kweli kabisa mkuu,,,wapunguzo makodi yao ili mafuta yashuke.

Sasaiv kila kitu ukigusa ni kodi,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…