Rais Samia Suluhu anafanya vizuri bei ya mafuta ukanda wa maziwa makuu

Tupe na bei ya mafuta kwao Zanzibar
 
We kenge unajua bei ya mafuta zanzibar? Mbona hujaweka hapo?
 
Twambie kabla ya hizo bei pipa huko uarabuni lilikua ni sh ngapi na sasa ni sh ngapi?
Limeongezeka shiling ngapi toka mwa 2020,na bei za wakati huo ilikua sh ngapi?
 
Kumbe ZAMBIA nao hoi,
 
Tanzania iko salama wakati wote chini,
 
Kwan kalalamika bei ya mafuta????

Kama inchi tupo vizuri


MITANO TENA au mnasemaje wajumbe
 
mkuu kwetu ni jiji huku mkoani na bei ni TZS 3,298 kwa lita ya Petrol tena from TZS 2,945 huku kwetu bei sio TZS 3,100 yako, wewe kama hujaguswa jiwe halijakupata, usituzibe midomo you have no idea how much we suffer.
 
Safi Sana Mama Samia,
 
Kichwa ako imejaa funza hizo nchi hazina hata bahari mafuta yanasafirishwa na lorry kutoka dsm ila bado bei ni kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…