Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Sio kweliLilongwe wiki iliyopita nimenunua petrol kwa Tsh 2730 ukigawanya kwa mbili ndio unapata Malawi Kwatcha na hiyo Nchi bei ya mafuta ni moja Nchi nzima na yanapita Tanzania mpaka kufika huko ni kama 1700Km... ishu ya mafuta Tanzania pana kodi kubwa na hao Ewura hakuna wanachokifanya...
Ni jinsi gani unaonekana hujui kitu bei ya mafuta au magari Malawi sio kubwa maana kodi yao ipo chini sana kutokana na maisha yao...wengine wanajaza mafuta Karonga tuu hapo sio mbali kutoka Songwe mpakani...Sio kweli
Hapo nimekupataNi jinsi gani unaonekana hujui kitu bei ya mafuta au magari Malawi sio kubwa maana kodi yao ipo chini sana kutokana na maisha yao...wengine wanajaza mafuta Karonga tuu hapo sio mbali kutoka Songwe mpakani...
Zambia mafuta yanasafirishwa kutoka Dar(Kurasini) kwenda Zambia kutumia bomba la mafuta la TAZAMA hakuna cha treni wala lori acha upotoshaji. Imejaa chuki na Rais wetu mpendwa lakini umeshindwa tayari.H
Hivi unajua wanapopakulia mafuta wazambia toka kwenye meli au umekurupuka tu kuandika. Mafuta ya zambia yanapakuliwa daresalaam, yanasafirishwa kwa reli/barabara zaidi ya km1000 plus kodi wanayolipa bandari ya dar. kama dar diesel ni tsh 3200 na zambia ni tshs 3400 tofauti ya tshs 200 (pamoja na gharama ya kusafirisha na kodi) na wewe unaona kuwa zambia mafuta ni ghali basi utakuwa una shida kichwani kwako. Au utakuwa mmoja wa wanaolamba asali
Bei yake ni kiasi gani?Zambia mafuta yanasafirishwa kutoka Dar(Kurasini) kwenda Zambia kutumia bomba la mafuta la TAZAMA hakuna cha treni wala lori acha upotoshaji. Imejaa chuki na Rais wetu mpendwa lakini umeshindwa tayari.
Hapo mkuu zungumzia huwezi linganisha Landlocked countries na sisi Tanzania Kenya au Mocambique kwa Nini Zanzibar is different from TANZANIA mainlandUbora upi hapo?
Mmeposha sana humu jf, am back
Nafasi za U DC zimejaa nchi Kwanza tumbo nyumaZanzibar ndio nchi gani? Ila CHADEMA nyie ni majinga sana
This wrong parception...Rais Samia anapambana sana shida hii nchi Upinzani ni wapotoshaji sana,
Wewe unapiga propaganda za kisiasa tu hapa kwa maumivu ya wananchi wenzako...Ubora upi hapo?
Mmeposha sana humu jf, am back
Hata mimi ni CCMUnafaidika nini kuwatetea hao majizi ya ccm ambayo yanaendelea kuwaingiza watanzania katika lindi kubwa la ufukara!!!!?
Hata mimi ni CCMUnafaidika nini kuwatetea hao majizi ya ccm ambayo yanaendelea kuwaingiza watanzania katika lindi kubwa la ufukara!!!!?