Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah we jamaa sasa hapo kuna uchawa gani mama ameongea mambo ambayo watanzania tunapenda kusikiaChawa mnaingia mpaka ndani ya ngozi sasa hivi kusaka asali.
Sure kuna watu wengi sana waliteseka mahabusu kwa kesi za kusingiziwa zisizokua na ushahidi lakini sasa Rais Samia Suluhu anasimamia haki watanzaniaHakika niwazo zuri kivipi mtu awekwe mahabusu na hajakutwa na hatia?
Chawa Tena mkuu?husikii huoni??Chawa mnaingia mpaka ndani ya ngozi sasa hivi kusaka asali.
Kilio gani tena mkuu maana tozo ni kwaajili ya maendeleo ya nchi yetu mimi na weweChawa Tena mkuu?husikii huoni??
Au una kilio Cha tozo mkuu?
Wange tupa na mda pia tujue linaanza kutekelezwaSure kuna watu wengi sana waliteseka mahabusu kwa kesi za kusingiziwa zisizokua na ushahidi lakini sasa Rais Samia Suluhu anasimamia haki watanzania
Utekelezaji unaendelea siumeona ata wale waliobambikiwa kesi kipindi kile cha mwenda zake wameanza kuachiwaWange tupa na mda pia tujue linaanza kutekelezwa
linimkuu.
lakini pia Kuna hili la uzurulaji Lina haribu Maisha ya watu
watu Wana sombwa bila hatia
na mahabusu wengi Wana tokana na hili pia na kesi za ndoa
Kuna jamaa kapost chawa hapo juu nikajiuliza kaudhika na Nini juu ya post yako?Kilio gani tena mkuu maana tozo ni kwaajili ya maendeleo ya nchi yetu mimi na wewe
Utekelezaji unaendelea siumeona ata wale waliobambikiwa kesi kipindi kile cha mwenda zake wameanza kuachiwa
Unaakili sana mzee kweli Rais Samia Suluhu amefanikiwa kuibadili Tanzania diplomasia ilikua imepotea lakini sasa mama ameimarishaHakika nishawai kusema nimtu MJINGA PEKEE ndiyo Ana weza kuuchukia uongozi wa Samia
*Kwanza mzunguko wa pesa ulisimama
*Pili kulikuwa hakuna Uhuru wa habari
*Tatu biashara zilisimama kutokana na UHUSIANO mbaya na majirani zetu hivyo tulitegemea masoko ya ndani
*Nne amani ilikuwa ime potea kwani ilifikia kipindi polisi na raia haviivani hukupaswa kuikosoa serikali hofu Mama Shaka vilitawara
*Tano inchi iligawanyika japo haikuwa wazi kwa wenye ufahamu ndogo wenye ufahamu Moana waliliona Hilo ukabila,udini, viliinuka kwa kasi
*sita Tanzania ilipoteza mvuto kwa dunia tulichukuliwa Kama tunajitenga na dunia na dunia iliapa kutukomoa kitu ambacho kili athili Maisha ya watanzania wengi bilia wao kujua
Mkuu Sasa hivi niwewe tuu uwe bongo lala Maisha ya naenda nibora ninunue debe la mahindi 20000/=
Lakini kwa siku niingize hata alfu 10000/= lakini kipindi like mahindi alfu 5000/
Mama anafanya matendo ambayo watanzania tunapenda kusikia hakika Rais Samia Suluhu atatufikisha tunapostahiliJambo jema sana hili.
Aliyepo mahabusu anafuraha gani na maji na umeme?.Unapata haki ndani umeme huna, maji huna, chakula kama somalia alafu unaambiwa haki. Kuhusu haki amwachie Mungu tu, yeye wala huo uwezo hana maana kiukweli haki iko mbinguni.
Wala hatuwezi hata kumdai hizo haki, sie uswazi tunajua maisha yetu na namna ya kumalizana
Kamuulize babu Seya atakutajia wote waliohusika.Aliyepo mahabusu anafuraha gani na maji na umeme?.