Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Nakuona JanuaryMakamba kivingine,aka Kigogo@2014
 
Unaanza kuwa kero, wewe ni wa kupiga tofari.

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 

Ujenzi wa bwawa la Umeme la JNHPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22,mnaoshangaa endeleeni kushangaa,​


" Hakuna kama Samia "​


Mkuu unaweza kufafanua .... ..... Ujenzi wa JNHPP upo kwa contract, inawezekana vipi hiyo contract kuongezwa kwa asilimia hizo ulizoweka? Kama ni hivyo unaweza kutufafanulia matatizo yaliyokuwepo kabla ya hilo ongezeko?

Kuhusu usambazaji wa umeme hiyo bajeti imezingatia vitu gani? Kama sikosei tuliambiwa ni vijiji vichache tu ambavyo vilibaki bila kuwa na umeme. Je, hiyo bajeti imeongezwa kwenye kazi zipi? Je, hizo pesa zimetoka kwenye bajeti ipi?
 
Mkuu salama!'

Contract ilikuwa from May 2019 hadi jul 2022 ,

Annual payment ilikuwa 6.55T/3 fanya hiyo hesabu utapata majibu,

Haiwezekani mradi ubaki na miezi 10 deni liwe 4.55T kuna shida sehemu!

Hizi fedha ni form main budget ya 36.33T

Kuhusu usambazaji wa umeme umejibu vizuri pesa nyingi itaelekezwa JNHPP,


ASANTE
 
Nakuona JanuaryMakamba kivingine,aka Kigogo@2014
January yupi tena

Kigogo yupi?




πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Majibu yako hayajitoshelezi. Contract huwa na kiwango cha malipo, kiko wapi? Unaposema annual payment una maana gani? Contract inalipwa kutokana na kazi iliyofanyika, huwa hulipi tu? Do you know what you are talking about?
 
Unaakili sana wewe Mtu
 
Majibu yako hayajitoshelezi. Contract huwa na kiwango cha malipo, kiko wapi? Unaposema annual payment una maana gani? Contract inalipwa kutokana na kazi iliyofanyika, huwa hulipi tu? Do you know what you are talking about?
Kama unajua wewe lete hapa
 
Unaanza kuwa kero, wewe ni wa kupiga tofari.
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…