Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Yuko vizuri sana kabisa
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Mzee Kikwete poa sana
 
Hawa watu sina imani nao..... Nitawaamini siku mradi ukikamilika......
 
Nakupenda Tanzania
 
Tanzania yetu
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Hongera Rais wetu kipenzi
 
NA NDIYO MAANA AKASEMA NA ANAENDELEA KUSEMA "KAZI IENDELEE"! TUKO AU NIKO PAMOJA NAWE.
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Mwezetu CM 1774857 maisha yako mazuri sana.Unanyuzi zaidi ya tano wiki hii za kusifia wakati wezako maisha tight.
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…