Rais Samia Suluhu ataka nafasi 6,000 za walimu kujazwa

Rais Samia Suluhu ataka nafasi 6,000 za walimu kujazwa

Jamani ajira mpya maana yake hazo nafasi ni mpya. Pia Kuna ajira za kujazia (replacement) yaani mtu kafa, kaacha kazi, kastaafu n.k hivyo ukijaza hizo nafasi zilizowazi ni replacement.

Umejenga shule mpya, kituo Cha afya kipya .nk hizo ajira zake zinaitwa ajira mpya
 
Wewe ndo umeeka hili swala clear na umeeleweka vizuri sana kama kuna mtu hajakuelewa aende kwa mganga.

So kuna zile ajira mpya Elfu 5 ambazo zilibaki katika zile elfu 13 hizo ndo mpya ila hizi zilikuwa kwenye bajeti zile za Magu zilikuwa za kuombea kura.

Hapo tunasema zile za Magu ni magumashi
 
Back
Top Bottom