Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Who are you?Hatufanyi mambo kwa hisia zako zinavyoenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who are you?Hatufanyi mambo kwa hisia zako zinavyoenda
Am RegentWho are you?
Acha kuleta umagufuli kwenye serikali ya mama Samia.Leo rais Samia ametangaza serikali iajiri walimu 6000 ili kuziba mapengo ya wale waliostaafu, kuacha kazi na kufa, ni jambo zuri na heri kwa vijana wenye taaluma ya ualimu...
Ndio ni ajira mpya kwa upande wa waajiriwa kwani watakaoajiriwa ni fresh from school lakini kwa upande wa serikali ni "replacement"- kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wastaafu, waliocha kazi ama fariki hivyo kuziba mapengo yaliyojitokeza.kwani replacement si ni ajira mpya inamaana vijana ambao hawajapa ajira watapata ajira so ni mpya kwa staili yake
Hakuna "ambiguity". Kuna nafasi za walimu 6000 ziko wazi zinahitajika kujazwa.Sijui ni ujinga au makusudi, yeye mwenyewe kasema sio ajira mpya
Wewe ndo umeeka hili swala clear na umeeleweka vizuri sana kama kuna mtu hajakuelewa aende kwa mganga.Ajira mpya ina maana kama watumishi wapo 200,000 serikali inaamua kuajiri watu wengine 30,000 ili iwe na watumishi 230,000 hapo kuna ajira mpya 30,000...
Afya ni ile hali ya kuwa vizuri.
Hao hawakulipwa stahiki zao za kuachishwa kazi ndio maana hakukuwa na replacement. Hawa wastaafu washapokea mafao.Marehem alifukuza watu wenye vyeti vyeki 14 lakini no replacement sembuse huko kustaaf
Hahahaha naipenda Hii...We kweli shibobo "Kasema wale walioachishwa na waliostafishwa warudishwe kwenye ajira zao.
🙏🙏🙏 MkuuHapa mama alimaanisha kuna mapungufu ya nafasi elfu sita za walimu zinazotakiwa zijazwe. Hao watakaozijaza ni wale walio mtaani na wasio na ajira. Ila sio ajira mpya kwa kuwa haziendi kuongeza idadi ya walimu waliopo bali kuziba mapengo yaliyopo. Ajira mpya ni zile zinazoenda kuongeza idadi ya watumishi waliopo. Ila kwa atakaye ajiriwa, yeye kwake itakuwa ajira mpya.
Wewe si umejitolea? Tayari unapaha pa kazi acha tamaa.Leo rais Samia ametangaza serikali iajiri walimu 6000 ili kuziba mapengo ya wale waliostaafu, kuacha kazi na kufa, ni jambo zuri na heri kwa vijana wenye taaluma ya ualimu...
Naweza kuwa baba kijana, heshima kidogo nimebakiza miaka kidogo nistaafu.Wewe si umejitolea? Tayari unapaha pa kazi acha tamaa.
Hakuna aliyelazimisha mkajitolee ni kiherehere chenu tu na kupenda kujifanya mnasaidia kumbe mnachora tu.
Hizi ni zama zingine.Ajira ni kwa wale wasiokuwa nazo.Wewe pamoja na aliyekushawishi ujitolee mlihesabu kuwa hiyo ni ajira ,endeleeni.Wanafiki nyie!
Hutoamin kijana yahn mlivyo wengi hafu walijitolea wasipewe priority haiwezekani.Wewe si umejitolea? Tayari unapaha pa kazi acha tamaa.
Hakuna aliyelazimisha mkajitolee ni kiherehere chenu tu na kupenda kujifanya mnasaidia kumbe mnachora tu.
Hizi ni zama zingine.Ajira ni kwa wale wasiokuwa nazo.Wewe pamoja na aliyekushawishi ujitolee mlihesabu kuwa hiyo ni ajira ,endeleeni.Wanafiki nyie!