second in Commender
Member
- Nov 7, 2019
- 24
- 66
Wewe unadhani wakataoajiriwa wanatoka wapiMarehem alifukuza watu wenye vyeti vyeki 14 lakini no replacement sembuse huko kustaaf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unadhani wakataoajiriwa wanatoka wapiMarehem alifukuza watu wenye vyeti vyeki 14 lakini no replacement sembuse huko kustaaf
Habari njema walio jitolea wata kumbukwa kweli watu majina yalifika Hadi kwa mkurugenzi yalitoka tamisemi ikabaki ishu ya barua kurud shuleni ....bado walikuwa Wana jitolea mashuleniNi mpya kwakuwa wanaojiriwa ni wapya
Replacement inakuaje hapo mkuu Wana chukua watu wapHizo mama Kasema sio mpya ni replacement jamani
Wanajaza kutoka wapi ,wanaajiri hukohuko kwa vijanaWaliostafu waliofariki, amesema n replacement ya watu hao, means sio mpya wanajaza hizo hizo wazi
Replacement inakuaje hapo mkuu Wana chukua watu wap
Acha kumsema MwendazakeJiwe unashindwa akili hata na mwanamke.miaka mitano ajira 8000 mwenzako wiki mbili ajira 6000
Aaah kumbe utata ni mpya au sio mpya.Waliostafu waliofariki, amesema n replacement ya watu hao, means sio mpya wanajaza hizo hizo wazi
Mushaanza ujinga wenuHabari njema walio jitolea wata kumbukwa kweli watu majina yalifika Hadi kwa mkurugenzi yalitoka tamisemi ikabaki ishu ya barua kurud shuleni ....bado walikuwa Wana jitolea mashuleni
Ujinga uko WAP huwez jibu kwa hoja?Mushaanza ujinga wenu
Ujinga uko WAP huwez jibu kwa hoja?
Ombi zuri, Hisia zaidiNami naomba wachukuliwe wale waliojitolea bana. Mtu unauzoefu wa kutosha na ni uzalendo wa kutosha?
Kabisa mkuu watu wamejitolea wange pewa kipaumbele kwa Sasa wameonesha uzalendo wa Hali ya juuNami naomba wachukuliwe wale waliojitolea bana. Mtu unauzoefu wa kutosha na ni uzalendo wa kutosha?
HisiaKabisa mkuu watu wamejitolea wange pewa kipaumbele kwa Sasa wameonesha uzalendo wa Hali ya juu
[emoji120] siku njemaHisia
kiweli shibobo "Kasema wale walioachishwa na waliostafishwa warudishwe kwenye ajira zao.
Afya ni ile hali ya kuwa vizuri.
Afya ni ile hali ya kuwa vizuri.
😂😂😂😂😂Afya ni ile hali ya kuwa vizuri.
Mambo hayaiendi kwahisia zako zinavyoenda[emoji120] siku njema
Em soma tena ulichoandika alafu uone kama ww mwenyewe utajilewa.Hizo mama Kasema sio mpya ni replacement jamani