Rais Samia Suluhu ataka nafasi 6,000 za walimu kujazwa

Jamani ajira mpya maana yake hazo nafasi ni mpya. Pia Kuna ajira za kujazia (replacement) yaani mtu kafa, kaacha kazi, kastaafu n.k hivyo ukijaza hizo nafasi zilizowazi ni replacement.

Umejenga shule mpya, kituo Cha afya kipya .nk hizo ajira zake zinaitwa ajira mpya
 
Waliostafu waliofariki, amesema n replacement ya watu hao, means sio mpya wanajaza hizo hizo wazi
Hahaaaa sasa kwani si ndio mpya! Hao wanaoajiriwa si wapya!????/aisee kiswahili chetu kinatishida
 

Hapo tunasema zile za Magu ni magumashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…