Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Amechemka sana Mwigulu anaenda kutuingiza kwenye mdororo mkubwa wa uchumi, Wizara ya fedha inahitaji mtu mwenye maadili na weledi wa kutosha, Mwigulu ni mtu wa kupika data kufurahisha wakubwa. Hakika hawezi kudumu hapo.
Atamtoa aliyemweka
 
Bashiru na polepole kisiasa ndio wameishia hapo, ni wabunge wasio na majimbo na 2025 kupata majimbo ni mbinde na kuendelea kuteuliwa ni mbinde pia. Hizo ni zawadi na ni mahesabu pia.

Tumpeni nafasi Mwigulu.
Mmoja atarudi CUF na mwingine atarudi kutetea katiba mpya na mda utakuwa ushapita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Bashiru wangemwacha kule kwenye chama Kama Katibu Mkuu kuliko kumsumbua sumbua mara huku, Mara kule.
Huko ndio alikua hafai kabisa 😂 Abaki huko huko bungeni tuone kama 2025 ataenda kutafuta jimbo au atarudi kufundisha, Sababu sio rahisi kupewa ubunge wa kuteuliwa mara mbili.
 
Mwisho wa siku Cabinet ni ileile, hakuna aliyeachwa isipokuwa Secretary Bashiru pekee.
CCMniILEILE.
 
Kuendelea kutambua uwepo was haya makundi Ni kuchochea chuki na kuhatarisha umoja was kitaifa...Tuendelee tu tunachokitafuta tutakipata.
 
C.V na uzoefu pamoja pia ubobezi wa Balozi Dr. Liberata Rutageruka Mulamula, ikilinganishwa na ya Prof. Palamagamba Kabudi tunawaachia wana great thinkers wa JamiiForums mjadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…