Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Ilienda wapi? Walikamiliasha mradi gani?Miradi mingi ilienda kwa biti la jiwe kwa wakandarasi kupigwa biti na kulazimika kutumia pesa zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilienda wapi? Walikamiliasha mradi gani?Miradi mingi ilienda kwa biti la jiwe kwa wakandarasi kupigwa biti na kulazimika kutumia pesa zao
Bandari ipi imesimama?Mbona bandali imesimama
Ya mtwara pesa hakuna.Bandari ipi imesimama?
Weka ushahidiYa mtwara pesa hakuna.
JF never boring ErythrocyteAmechemka sana Mwigulu anaenda kutuingiza kwenye mdororo mkubwa wa uchumi,Wizara ya fedha inahitaji mtu mwenye maadili na weledi wa kutosha,Mwigulu ni mtu wa kupika data kufurahisha wakubwa...hakika hawezi kudumu hapo.
Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi.