Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

ofisi ya Jafo

Uwekezaji imerudi chini ya ofisi ya waziri mkuu

Ummy mwalimu-tamisemi

Wizara ya fedha -mwigulu nchemba

Sheria- kabudi paramagamba

Mambo ya nje- balozi mulamula

michezo -naibu (gekulu) ulega amerudi mifugo

Afya- naibu wa pili Mwanaidi ally hamisi

Bashiru-mbunge wa kuteuliwa

Zingine zimebaki kama zilivyo.
Hili Baraza poyoyo kweli kweli. Nchemba na PhD ya kufanywa hana uwezo wala hadhi ya kuongoza Wizara nyeti ya fedha. JPM alimshughulikia vibaya sana Liberata Mulamula, lakini naona Samia amemfuta machozi.

Ninaamini Likwekile hasingefariki angemrudisha Wizara ya fedha. Kabudi akae chonjo, hiyo inaweza kuwa ndio njia ya kutokea, kurudi jalalani'?! Hata Jafo anaelekea mwisho wa enzi.

Bashiru ndio basi tena, ameambulia ubunge, balozi hawezi kuwa Mbunge. Tafsiri yake ni kuwa ubalozi umeyeyuka pamoja na ukatibu Mkuu kiongozi! Ummy bado yuko kazini. Hongera Rais Samia!
 
Huyu Mama Ana Kusudi Sana Nadhani Hataki Kufanya Kazi Na Mwalimu Wangu Bashiru, Kamteua Kuwa Mbunge Halafu Kamwacha Domant Tu.. Daaaah Dharau Hizi.
 
Kule alikoenda Bashiru alikuwa hata kweli ameshaweka mafaili yake (au ndio kuhamishwa hata kabla haujaamia)
 
Huyu Mama Ana Kusudi Sana Nadhani Hataki Kufanya Kazi Na Mwalimu Wangu Bashiru, Kamteua Kuwa Mbunge Halafu Kamwacha Domant Tu.. Daaaah Dharau Hizi.
Sio dharau ni maamuzi ya taasisi,hii ni nzuri sana ,cheo ni dhamana ukibadilishwa usilalamike,je mkulima aache kulima kwa sababu ya tabia nchi,ufikie hapo hata cheo kubaliana na lolote,leo hivi kesho vile.makofi tafadhali👏👏
 
Huyu Mama Ana Kusudi Sana Nadhani Hataki Kufanya Kazi Na Mwalimu Wangu Bashiru, Kamteua Kuwa Mbunge Halafu Kamwacha Domant Tu.. Daaaah Dharau Hizi.
Kwani angeweza kumpa uwaziri kabla hajaapa?
 
Lazima tukubali zama zimebadilika. Mama naye anao watu anaowaamini.
Tuache wafanye kazi.
Hizi dini sio rohoo..
 
Mwigulu ni mbobezi wa uchumi na mambo ya Fedha. Mimi nashangaa mnaosema hafit. That guy is so competent
Huyu huwa anaharibu sana akipewa wizara ya kupiga blah blah, ni msomi mzuri tu tumpe muda.
 
Back
Top Bottom