Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.

Rais Samia Suluhu akiteua Baraza la Mawaziri amesema...

''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''

Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
Hivi mkuu, hapa Kuna mashindano ya kuwahisha habari??
Kwani ungetulia ukasubiri amalize uandike habari kamili ungepoteza nini?
 
CHADEMA povu Mwigulu kula shavu,kama namuona Lissu alivyonuna hehehe
Chadema wanasema Mwiguli ndo mtuhumiwa wa kwanza kwenye shambulizi la Lisu.
Lisu ataumia sana kuona Mwigulu anazidi kupaa.
 
Kilichoonekana wazi ni kuwa Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan hana uchaguzi mpana kwa wabunge wa sasa kwa ajili ya teuzi za mawaziri na manaibu mawaziri.
Hayati JPM alitupelekea watu wa hovyo kabisa bungeni.
Povu laki litakuuwa.

Mtu gani aliachwa ambae leo angekuwa waziri?

Ukimtaja nakutumia Buku la vocha .
 
Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.

Rais Samia Suluhu akiteua Baraza la Mawaziri amesema...

''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''

Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.

Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI

Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais

Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji

Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango

Profesa Palamagamba Kabudi, - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Huyu mwigulu atakua na jini anatembea nalo sio bure
 
Nimeipenda sana hii surprise ya Mkuu wa nchi. wapiga ramli na wazee wa kubeti kwa mara nyingine wameachama midomo
 
Back
Top Bottom