Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Huo ushungi kajitundika juzi juzi tu kuna wadau wanasema mwenyewe kwenye hotuba flani alisema alipoanza siasa alikua anavaa suruali na kichwan mawigi ya kutosha. Wenyeji wakamwambia avae kama wazenji ili akubalike
Mama naye kumbe mtoto wa mjini. Huo ushungi usitudanganye. Safi sana [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Influence ya Kikwete hiyo. Samia must be every careful how he handles Kikwete's advice!! Next atamshauri ambadilishe Mzee Mangulla kule ccm kama Makamu wa Mwenyekiti na huo ndio itakuwa mwanzo na mwisho wake; hakuna mtu anaimudu ccm kama yule mzee na akiondoka tu mtayumba!! Huyo mzee anafanya hayo majukumu kutokana na uzalendo wake basi. Sasa mafisadi wanaona anawawekea kiwingu na ndio maana wanamlisha hata sumu lakini Imani yake inamponya!!

Nimeshangaa sana Rais Samia katika hotuba yake ya kumpongeza Mpango hakutambua uwepo wa makamu wa Mwenyekiti wa ccm Mangulla ingawa alikuwepo!!!!
Hii hadithi ya kusema Mangula kalishwa sumu ni uongo mtupu. Bila shaka aliitunga marehemu.
 
yes mim nimependa tu leo kaja na stlyle ya aina ya pekee.katika mbinu za kuzuia taarifa kuvuja unashtukiza tu tena saa nyingine unayatype na kuprint mwenywe.
pia leo alikua na saut ya kimamlaka na nimependa kaongea bila kusoma soma yan yanatoka tu kichwan vuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hafai mkuu niamini ndio mana jiwe alimuweka kando ili ajifunze ila ambition za mtu huwezi kuzizima sijui kaenda kuloga wapi ila atakwapua hela ajiandae na urais mi genge lake lote nalijua na watu wa usalama pia wanamjua vizuri kinachoniuma atamsumbua mama
Mwigulu tatizo hakui. Wakati wote ni utoto utoto tu. Hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji. Ni mnafiki na mzandiki. Kwa ujumla hawezi kazi. yeye anaweza tu mipasho ya kisiasa.
 
Aliyempendekeza Mwigulu kuwa Waziri wa Fedha ni Makamu wa Rais Mh Mpango, hujamsikia Rais akisema kamchagua Mh Mpango ili amshauri vizuri kuhusiana na mambo ya kifedha? Kwa hiyo bila shaka Mh mpango ndie aliyempendekeza Mwigulu N.
zege hailali.kaucheza mwingi mnoo hapo.mikson

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema kweli mama kapuyanga kumpa huyu mlafi wa madaraka uwaziri wa fedha. Hapo atatumia nafasi hiyo kujibrand na kujipublish kwa jamii imjue vizuri ili 2025 jina lake lisiwe geni sana kwa watu.
 
Back
Top Bottom